Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
Yaani ajira za waTanzania zinaanza kuitwa laana muda huu!!! Hata kama kweli ajira hizi ni laana, bado kwa mtu anayewapenda waTanzania hawezi kuwatamkia neno la namna hii waziwazi. Wanasaiasa wapinzani wenye hakima kama akina ZZK huwezi ukawakuta wanatamka maneno ya namna hiii
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
Baada ya kueleza maelezo unaandika kiufupi tu.
Kama sio laana mpe mwanao afanye hiyo kazi si kamaliza chuo kikuu ana master na PHD
 
Yaani wewe ndio kibuyu pasee walahi inasikitisha [emoji31][emoji31][emoji31]
 
Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?

Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.

Endeleeni na ujinga wenu
Bodaboda wanauelewa UKWELI,

Sijawahi ongea na voda akafurahia KAZI yake, Kila siku wanakoswakoswa kugongwa na magari,

Wanafanya Kwa njaa tu. Boda haipasi kuwa usafiri kibiashara.
 
Hivi kweli katika maelfu waliokuwepo kwenye mapokezi
  1. Hapakuwepo mwanddishi wa habari hata mmoja mwenye camera
  2. Hapakuwepo hata mwanaJF mmoja mwenye simu ya android
  3. Hapakuwepo hata raia mmoja mwenye camera au simu
Hivi kweli threads zote za Lema hazina picha hata moja au kuna mtu anazihujumu hizo picha zikiwekwa humu?
 
Sabaya hawezi kuja kupata cheo chochote, mark this post.
Hao unaowazungumzia walikuwa behind bars kwa sababu za kisiasa whilst Sabaya is facing criminal charges, Sabaya ni jambazi na kila mtu mwenye akili timamu(kwa wale wanaomfahamu) analijua hilo.
Naona washabiki woote wamemwacha solemba
 
Hivi kweli katika maelfu waliokuwepo kwenye mapokezi
  1. Hapakuwepo mwanddishi wa habari hata mmoja mwenye camera
  2. Hapakuwepo hata mwanaJF mmoja mwenye simu ya android
  3. Hapakuwepo hata raia mmoja mwenye camera au simu
Hivi kweli threads zote za Lema hazina picha hata moja au kuna mtu anazihujumu hizo picha zikiwekwa humu?
Nenda Youtube kule uone Milard Ayo, Wasafi media, Mwananchi Com, Jambo tv woote walikuwa live na clips zipo.
 
Nenda Youtube kule uone Milard Ayo, Wasafi media, Mwananchi Com, Jambo tv woote walikuwa live na clips zipo.
Lakini ukumbi huu haujatendewa haki, anti youtubers walitakiwa kuwa na chao hapa, kuna member alishauri JF iwe na channel yake leo ndiyo naelewa alimaanisha nini
 
Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?

Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.

Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.

Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
Kwakeli huyu mama atabaki kwenye vitabu vya historia kwamba kwanza ni rais wa kwanza mwanamke Tanzania lakini amekuja kuwafundisha wengine namna ya kuongoza nchi nafkiri pia ni maombi ya wananchi kwa mwenyezi Mungu baada ya kupitia kibano miaka 5 ya jiwe mama Samia ni ZAWADI ya Mungu kwetu.
 
Mungu ni Mkuu...
Ameen

Nakubali
 
Nani alijua simba atafungwa 3-0 kwa mkapa?
Nani alijua Samia atakuwa Rais?
Nani alijua Kakobe atakuja funikwa na Mwamposa?
Nani alijua atcl ingekufa tena kifo cha mende?
Mimi pia sikujua chadema itarithi nafasi ya TLP na Mbowe kuwa Mrema part two.
 
KAMA ndoto vile kumbe ndio ukweli wenyewe mwanahalakati huru kimyaaa Mzee wa mkoa wngu anaishi kama Digi Digi mtaani yanadhalau sana
Kweli dunia duara,nilicheka siku ile Makonda analia lia eti anatishiwa maisha na GSM, Makonda huyu alikuwa anatembea na msafara kama wa Waziri mkuu!!!!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mambo hugeuka, na wala usishangilie eti Sabaya yuko gerezani... Tena ogopa sana hao watuhumiwa wa Kisiasa, kuna siku utakuja kuona Sabaya ni Rais au ni waziri mkuu, kila kesho hubadilika na hata usibeze , muangalie Rais wa Zimbabwe, alikaa gerezani miaka kumi akiwekwa na Serikali ya Rodeshia nyakati hizo, hawa kina Lema pia wala usidhani ni watu wema kwa mawazo yako, eti walionewa tu... Big No, usichokijua usikisemee kwa mihemko ya mapenzi ya siasa
Usipotoshe Sabaya tuhuma zake ni za jinai siyo za kisiasa,huyo ataozea jela atafungwa sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yaani utadhani jeshi la polisi sio lile la Miaka 3 iliyopita...ni kama tumeazima polisi kutoka ulaya kumbe ni akina mponjoli mwaburambo hawa hawa ...akina kingai pamoja na ukatiri wao wa kipindi Cha magufuri lkn kwa sasa ni kama sio waoView attachment 2534352
Mama ameiponya nchi. Yule zwazwa alituharibia sana nchi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
*Nani alijua Mungu wa sukuma gang angekuwa anasutwa na kuzodolewa na kila matanzania?
Museveni wa Uganda alisema, kosa la wazungu ni kudhani waafrika kunyamazia vitendo viovu wanavyovifanya wazungu basi eti waafrika wanakubali vitendo hivyo! Lah Asha!! Waafrika hawavikubali kabisa vitendo hivyo, bali wanajenga mazingira ya kuishi kwa kuvumiliana na wazungu hao.

Sasa linapokuja suala.la.wazungu hao kulazimisha Waafrika nao wafanye vitendo hivyo viovu, waafrika hatukubali upuuzi huo.

Aliyasema hayo Museveni.

Wakuelewa ataelewa tu!!!
 
Hello JF,

Ni muhimu kila Mtanzania akawaza mema yaliyo makubwa zaidi juu ya wengine na sio dhambi, nakubali na mimi ni mteja wa kupanda bodaboda sana, tafadhari wazo la Lema tulibebe kama changamoto ya kufikiria zaidi kuongeza ajira bora zaidi.

Ndugu Lema ameongea jambo zuri sana hasa ukizingatia vifo na vilema vinavyotokona na ajali za bodaboda sio vya kuchekea, kama taifa ipo namna bora zaidi ya kufikiria juu ya ajira za hawa raia kuliko kubweteka na bodaboda haiwezekani kila kijana akawaza last option kwenye riziki iwe ni bodaboda.

Taifa makini haliwezi kuridhika na ongezeko la bodaboda na tukajisifu hio hapana.

Chagizo la Lema linahitaji fikra kubwa zaidi katika kutengeneza fursa na wigo wa ajira mbali na bodaboda.

Tuwe serious kwenye fikra pevu.

Wadiz
 
Back
Top Bottom