Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Karibu tena Arusha mkimbizi wa madeni ya uchaguzi nadhani umeahamaliza kulipa fedha za watu ulizotumia kwenye kampeni ndo ukaona urudi Ila najua hujamaliza zote changisha makamanda umalizie deni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo propaganda ya madeni imekufa muda mrefu. Au unadhani ndio tutasahau ukatali wa dhalimu?
 
FB_IMG_1677682167046.jpg
FB_IMG_1677682153443.jpg
 
Kuna mafekeche fekeche yamefanyika kwenye social media kuondoa au kuzuia habari za Lema Arusha zisitrend Kwa wingi kama ilivyotokea mcchana wakati anazingia.

Wajuzi WA haya mambo watuambie NI huku abroad Tu ndo tumekosa uondo au hata huko home mambo yapo the same?

Kipekee nishukuru huyu mwamba kurejea nchini salama lakini pia tumshukuru zaidi aliyeondoa siasa za chuki na kuruhusu siasa za hoja...kila la kheri nchi yangu Tanzania
 
Wanasiasa wa Africa wanakimbilia Ulaya na America pale mambo yanapokuwa magumu, yanapotulia hurudi na kutangaza kuleta ukombozi.

Hawa Ulaya na America ndio kila siku tunawaita wanyonyaji wa Africa, kwa style hii tunaweza kujinasua kwenye mikono yao?..
 
Ina Mana wamasai na waameru wanaichaje Arusha yao inaongozwa na kishoia na kyasaka lakini na ilhali mmeru hawezi pewa uongozi na warombo wakibosho wamachame wa west n.k
 
Back
Top Bottom