OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama humjui Lema muulize Magufuli, Ndugai na Sabaya. Watakuambia aliwapa maono gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo propaganda ya madeni imekufa muda mrefu. Au unadhani ndio tutasahau ukatali wa dhalimu?Karibu tena Arusha mkimbizi wa madeni ya uchaguzi nadhani umeahamaliza kulipa fedha za watu ulizotumia kwenye kampeni ndo ukaona urudi Ila najua hujamaliza zote changisha makamanda umalizie deni
Sent using Jamii Forums mobile app
SiyoZamani ITV walikuwa wanaonesha live but sikuhizi ni jinai
TBC tu, hata mama kaenda A town anachungulia kwa mbali toka ghorofani. Jambo jema hakutaka asimuliwe toka kwa wale waongo hivyo aliamua kwenda kujionea mwenyewe kama kweli kuna umati wa watu.Hili tukio hadi TBC wameishiwa aibu wamelitangazaView attachment 2533879
Mama anastahili pongezi.hata mama kaenda A town
Yyess! Siasa si ugomvi kama alivyoichukulia yule mjamaa.Mama anastahili pongezi.
Duuuh! Pigo kubwa kwa walinda legacy!!Wakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi , hakika leo historia imeandikwa , sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada...
Ninawaona TBC, VOK, BBC, Aljazera kasoro Sauti ya Zanzibar.
Kabisa, tunataka progressive politicsYyess! Siasa si ugomvi kama alivyoichukulia yule mjamaa.
Hapo chiniSisi Sukuma gang tuna-comment wapi?
Mungu Ibariki CHADEMAWakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi , hakika leo historia imeandikwa , sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada...
AmenMungu Ibariki CHADEMA
Na watashindwa Kwa kuwa kazi unayotufanyia na Mungu amesimama.Niombee sana wasiniloge