masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Hadi ana migodi
Sio mgodi ni migodi...jamaa yupo vizuri
Sio mgodi ni migodi...jamaa yupo vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TakbiiiiiiiiiiiiiiiiirHajui political climate ikoje...
Watu washachoshwa na siasa za harakati...na kushambuliana ..
Very soon watamchoka
Hakuna mfuasi wa awamu ya tano anaekubali kua upinzani hasa CDM waliuawa, waliteketwa, waliteswa, kupewa kesi fake, wala halihitaji evidence bali wasiojua mamb bali ni mashabiki watakwambia ulete evidence!!Wewe ujui siasa ilivyo ndio maana siasa waliita ni mchezo mchafu kwasababu wanasiasa hawaaminiki Lema si ndio huyo huyo akisema Lowassa ni fisadi na Ndio miongoni mwa mtu aliyempokea chamani na kumpigia kampeni ya Uraisi kama aliongea haya mimi ni nani niamini maneno yake
Lema yupo sahihi kabisa, bodaboda sio ajira kwa sababu hakuna mtu ambaye alienda shule ili aje kuwa dereva bodaboda ✋🏽Godbless Lema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.
Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.
Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?
Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?
Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
lazma ukweli usemwe,Lema imekuwaje? Mbona kama vile kawa kichaa?
Well, now naona tumekubaliana juu ya uhalifu waliofanyiwa upinzani awamu ya tano na umekubaliana kua haikuanzia awamu ya tano!! Hapa sasa tunaenda saw 🙌🙌!! Kuhusu ukwepaji kwa serikali kuna raia weng walikwepa serikali lkn miaka mbeleni ndipo wakaja kamatwa, imagine kiwanda kinaiibia serikali umeme kwa zaid ya miaka kadhaa je serikali haikuepo? Sio kila wahujum wanakamatwa on time mengine huchukua muda!!Lema muongo kama alikuwa anakwenda kukagua migodi yake kwa kuvaa baibui, ukafikiri Serikali aina watu wake huko kwenye migodi? Serikali ikikutaka hata uchimbe shimo inakukuta huko kwenye shimo, Serikali kama ilikuwa inamwitaji hatawakati wa kuvuka mpaka angelikamatwa tu, mbona Nyarandu alirudishwa na akuna kilichompata!na mpaka Sasahivi yuko ccm anakula bata; Chadema uongo wanaotunga kuaribu sifa za Magufuli utawarudia tu, hauwezi kupanda kwa kukanyaga mtu au kimchafua ukadhani wewe utakuwa salama.Akuna jipya ambalo Magufuli alitenda ambalo watangulizi wake hawakuwai kulitenda.
Nikweli vikoba ni umaskini mzunguko wa pesa umekuwa mdogo matokeo yake tunaishi kwa kukopa huko mtaani kuna taasisi nyingi za kukopesha wamegundua biashara hiyo inalipa sana, jamii mfu ambayo haiwezi kubuni njia sahihi za kuwezesha kuinua kipato cha mtu mmojammoja inaishia kwenye mikopo inayoitwa kausha damuMwenye akili hawezi shabikia kikoba eti kinasaidia
Wanataka kumdumaza maskini akili aweke hela kwenye kibubu au ndoo wao waweke zao benk
Kila mtu akisema yanayomuuma si tutageuza taifa kuwa kituo cha maombolezo. Tangu huyo lema afike siskii sera yoyote aliyosema zaidi ya kashfa tu! Kwa mtaji huo 2025 wataendelea kuwa wapiga debePunguza akili kuganda!! Kila jambo lina conclusion zake kweny vyombo husika!! Acheni waseme waliyopitia ili nafsi zao ziridhike, mnaumia juu ya wao kusema wengi wenu ni wahusika wa mauaji na utekaji!!
Sasa ndo aongee pumba?Alikuwa kafungwa mdomo muda mrefu ni muda wake wa kuongea sasa
Wewe ni mke wa Lema? Utaacha lini kuwaza ngono kila dakika?Mbona na wewe kama umeweguka 24/7 unamuwaza Lemma tu hivi mumeo unampa unyumba kweli wewe mama?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hata wezi na matapeli wanasomesha watoto wao kwa kazi hizo za laana wazifanyazo.Mimi sio bodaboda Ila nawaheshimu sana maana wapo watu wazima wenye familia na wanasomesha Watoto kwa kazi hiyo
Kwa hiyo hapa Tanzania Kuna upungufu wa ma operator wa matrekta si ndio? Hiyo unayoita kazi ya kula imewawezesha kuanzisha miradi Mingi tuu
Je huyu Nabii wenu fake nyie Chadema ni Mzalendo wa kweli?