Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Ujumbe anaotoa Lema Arusha hautuhusu wana Arusha tu. Ni ujumbe kwa wananchi wote. Na hata akifanya mikutano sehemu nyingine lazima atasema hivyo hivyo tu.

Sisi kama Watanzania ni wapuuzi sana lazima tuambiwe ukweli.
Tumezidi kuwa mataahira, we mtu anakopa chanjo za trillion 2 na hakuna aliechoma halafu tumezubaa tu kama mapoyoyo.., arndelee kuwatukana zaidi na zaidi
 
Wewe ni Mtanzania??
Hii nchi mbona imekuwa chini ya utawala wa chama kimoja tangu imepata uhuru!
nchi ambayo haina Sera yapamoja kila anaeingia madarakani anafanya la kwake ningumu mno,mnoo,mnooo,mnoooo nasema Tena mnooooooooooo kwawananchi wake kufanikiwa.

nchi ingekuwa nachama kimoja tuu tukakaa tunaongea lugha moja[emoji53][emoji53]yani ingekuwa nisuala la miaka 10-20 tuko sehemu nyingine kabisa

coz hatutakuwa na mivutano mikubwa ya kisiasa tunaenda na mikataba tuu.ukizingua unatolewa anawekwa mwingine.

sisi tunaendekeza ujinga wa vyama vingi hatujui kuwa ndio mchawi wetu wa maendeleo
 
Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe
 
Mimi ni mfanyabiashara wa Bodaboda na kiukweli naungana na lema,hii si biashara bali ni laana,ninaifanya tu kwasababu sina cha kufanya ila ningekuwa nina uhakika wa kazi wala nisingehangaika na hii laana
Mkuu wewe sio Mfanyabiashara huko toka. Wewe ni Mjasiriamali kwenye idara ya Bodaboda.
 
Tumezidi kuwa mataahira, we mtu anakopa chanjo za trillion 2 na hakuna aliechoma halafu tumezubaa tu kama mapoyoyo.., arndelee kuwatukana zaidi na zaidi
Ifikie mahali mtu aseme ukweli tu sio kubembelezana tu, kama watu walishatolewa bungeni kwa figisu hawana chakupoteza
 
Kwa Tanzania hapa biashara rahisi ni siasa, embu mfikirie mbunge wako analamba 10m kila mwezi, bungeni ambapo ni ofisini kwake akikanyaga tu analipwa laki 3 kila kikao.

Kwa siku akihudhuria vikao 2 analamba laki 6. Akimaliza ubunge anachukua kishika uchumba cha milion 250... hapo sijahesabu mpunga anaopata akihudhuria kamati za bunge, acha rushwa wanayolamba kwenye kukagua miradi ya serikali kwenye kamati zao.

Jiulize mtu amekaa bungeni miaka 10 hadi 15 bado anataka kurudi... kama biashara zinamletea pesa kwanini asikomae nazo?
 
Nimemsikiliza Lema tokea ile siku ameridi. Ukweli ni kuwa amekuwa akisema ukweli mchungu kwa raia kwakuwa sisi raia hatujielewi, ndio maana alituita sisi ni maskini (ni kweli).

Huwa inakera mtu kijaribu kuwafungua watu akili lakini watu wenyewe wapo tu kama kondoo waliopigwa jua kali vichwa chini mda wote.

So lazima atuchane kweli ili akili zikae sawa. Unafikiri yeye ana chakupoteza asipochaguliwa kuwa mbunge? Unafikiri maisha yake yatakuwa yamefika mwisho?

Tuwe tunaelewa kuwa mtu anaeamua kuwapigania watu na kuona anaowapigania wanakuwa mazuzu lazima awaambie ukweli.

Siku zote ukweli unauma ila ndio hivyo. Lema yupo sahihi.
Anawapigania wananchi ili wawaje?
Kwani si alikua mbunge?alifanya nini?
Lema kama wabunge wengine tu anajipambania yeye na familia yake,sasa anakasirika kuona watu hawawazi kama anavyowaza yeye apate ulaji.

Akiona anajerwa aache tu,alipewa ubunge akawa anazira zira tu bungeni huko shenzi
 
Ukiuliza swali "kwani sialikua mbunge, alifanya nini?" Basi ni uthibitisho tosha kuwa huna akili kabisa.

Nyie ndio wale mnaosemaga, raisi kanunua ndege, raisi kajenga shule.

Shenzi kabisa wewe.
 
nchi ambayo haina Sera yapamoja kila anaeingia madarakani anafanya la kwake ningumu mno,mnoo,mnooo,mnoooo nasema Tena mnooooooooooo kwawananchi wake kufanikiwa.

nchi ingekuwa nachama kimoja tuu tukakaa tunaongea lugha moja[emoji53][emoji53]yani ingekuwa nisuala la miaka 10-20 tuko sehemu nyingine kabisa

coz hatutakuwa na mivutano mikubwa ya kisiasa tunaenda na mikataba tuu.ukizingua unatolewa anawekwa mwingine.

sisi tunaendekeza ujinga wa vyama vingi hatujui kuwa ndio mchawi wetu wa maendeleo
Toka Mwaka 1965 hadi Mwaka 1992, Tanzania ilikuwa chini ya Chama kimoja. Hiyo ni miaka 27.
Tulifika wapi?

Baada ya hapo kukaja vyama Vingi.
Lakini bado CCM ni Dominant.
In reality bado tuko chini ya chama Kimoja.

Kwa sababu haiwezekani Rais ambae ni mgombea mtarajiwe. Ateue Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi.
 
vyama vifutwe vinatuchelewesha sana.
 
au anakitu behind kwenye ule mkakati wa Samia kuwarambisha asali viongozi wa Chadema?,Arusha sio mji wa mamburula bana nakataa katakata.

hata uchaguzi uliopita wanaarusha waliporwa haki yao.
kama ivyo arudi Canada akapige mishe zake anapoteza muda kwa kuwapigania mamburula watu wajinga.
 
Wakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi , hakika leo historia imeandikwa , sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada.

Baada ya Mapokezi mazito ya Nabii wa Mungu Godbless Lema , Jioni hii tena kuna Mkutano kabambe wa hadhara unaofanyika viwanja vya relini Jijini humo.

Tayari viwanja hivyo vimenona , Wananchi kwa maelfu wamejitokeza .

Hali ndio kama mnavyoiona.

View attachment 2533853View attachment 2533854

Kwa vile leo wazungumzaji ni wengi, akiwemo Baba Askofu Mwamakula basi tutaweka, vipande vya hotuba vya kila msemaji kwa ufupi ufupi.

Kama kawaida Mtumishi wenu Erythrocyte nitawaletea yote kwa uaminifu mkubwa.

Usiondoke JF

==========
UPDATES

Sugu amemuomba Gambo ajenge nyumba mapema ili asije akarudi kwenye ghetto la ukoo Ilala.
Kwa hiyo kuosha mavi ya wazee wa kizungu ndio kazi ya maana?

Alivyokonda usikute alikuwa anapelekewa moto Kwa ule mtaa
 
Ukiuliza swali "kwani sialikua mbunge, alifanya nini?" Basi ni uthibitisho tosha kuwa huna akili kabisa.

Nyie ndio wale mnaosemaga, raisi kanunua ndege, raisi kajenga shule.

Shenzi kabisa wewe.
Hapo labda useme mm na wewe hatuna akili kabisa. kitu ambacho hujui ni kwamba Kwenye suala la ukombozi wa wananchi Lema hayupo.huyo ni mwana harakati wa majukwaani na ufundi wa kuongea,ila sio mtu wa kuwavusha watu.

Hajawahi hata kuhamasisha jambo likaleta impact kwa wananchi zaidi ya kuitukana ccm tu.sasa leo anakuja kutusi watu kizembe tu kwa kitu ambacho hata yeye hana na kashindwa
 
Mimi ni mfanyabiashara wa Bodaboda na kiukweli naungana na lema,hii si biashara bali ni laana,ninaifanya tu kwasababu sina cha kufanya ila ningekuwa nina uhakika wa kazi wala nisingehangaika na hii laana
Katika laana zote umeona uchague laana ya boda boda?
 
Back
Top Bottom