ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Wenda ana taka waanze kukaba watu na kupiga mapanga.Wakale wapi, yeye aendelee hivo aone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenda ana taka waanze kukaba watu na kupiga mapanga.Wakale wapi, yeye aendelee hivo aone
Ameiambia ccm ifanye kitu msianze kumshambulia.Namsikiliza mbunge wa zamani ndg Lema Jembe fm, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake...
Ukweli gani ?Ameiambia ccm ifanye kitu msianze kumshambulia.
Tatizo la maskini akiambiwa ukweli anachukia badala ya kutafakari
Mtu anashinda siku nzima anasajiri lakini bure mwisho wa mwezi analipwa elfu 20. Hizi ni kazi za watu wavivu wasiopenda kazi.Ukweli gani ?
Ukweli unauma. CCM ifanye mabadiliko ya kiuchumi kusajiri laini hata mlo tu ni shida. Sio kazi ya kujivuniaKwahiyo Lema anataka kusema vijana wasijipambanie wakae majumbani?
Huyu mzee wa canada amekula maharagwe ya wapi?
Akwende zake canada huko akauze mali kwa mabeberu.
Kazi za watu wasio wavivu ni zipi ? Na zipo wapi hapa Tanzania ?Mtu anashinda siku nzima anasajiri lakini bure mwisho wa mwezi analipwa elfu 20. Hizi ni kazi za watu wavivu wasiopenda kazi.
Kwa Mchaga kama Lema huo ni upuuzi.
Yuko sahihi, ni vizuri kuwa mkweli kuliko kuwa mwanasiasa mnafikiNamsikiliza mbunge wa zamani ndg Lema Jembe fm, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.
Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa...
Ukweli upi ?Yuko sahihi, ni vizuri kuwa mkweli kuliko kuwa mwanasiasa mnafiki
Wacha atukane tuuNamsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake...
Kwahiyo tuajili wazungu waje wafanye kazi za kusajili line, bodaboda, mama ntilie, etc? 😁😁Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.
...
Watu ambao watoto wao huwa bado ni vitoto havijui utamu wala uchungu wa maisha , kwa kawaida huwa waropokaji sana wanapowaangalia vijana wa watu wengine wanavyotesekaNamsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.
Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa...
Namsikiliza Mbunge wa zamani Nndg Lema Jembe FM, anahojiwa alipokeaje suala la yeye kufutiwa kesi zake.
Lema anadai moja ya vitu anavyompongeza Mama ni pamoja na yeye kufutiwa mashtaka pia mikutano ya kisiasa...
Hajawakataza ila ukweli ndio huo, usitegemee usajiri line uje ujikwamue kiuchumi labda kama tunataka vijana wawe na vipato vya ku surviveKwahiyo tuajili wazungu waje wafanye kazi za kusajili line, bodaboda, mama ntilie, etc? [emoji16][emoji16]