Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Betting ni worldwide sio Tanzania tu, halafu wanabet kwa pesa zao unasemaje kuwa hawafanyi kazi?Kama hawafanyi kazi hizo pesa wanazobet wanazitoa wapi?
Ajira hakuna,mikopo halmashauri wanatoa kwa kujuana utalalamika watu wasibet?
Waende shamba wakalime kuna shamba la 500 au 1000?
Kwani hata ushoga si ni worldwide? Wanaotumia cocaine na madawa mengine ya kulevya wanayapata buree? Ukweli ndiyo huo hata kama haupendwi
 
Naunga mkono.

Sio tu Lema amefanya dhihaka na kukufuru muumba Lema ahukumiwe kama alivyotoa hukumu..


Ningependa kuona maoni ya Wakuu wa Makanisa kuhusu matamshi yake.

They are abominable, repellant, repugnant, and repulsive, more so admissable in a court of law....let alone the court of public opinion!

Maneno yake yanaleta na kuashiria mitawanyiko waliyokusudia pale watakapo shika dola kwa kutumia(sera ya majimbo) ajenda za kibeberu na kibepari....kwa kupandikiza maadili na fikra za kibepari na mitazamo ya kibeberu.

Ni hatari sio tu kwa Jamii ya Mtanzania, bali Mwaafrika kwa ujumla. Apigwe vita kokote kule kwa manene yake.

Aluta Continua.
Wewe ndo uelewi chochote lema yuko sahihi, kwani lema kakosea nini?

Matusi mlokuwa mkipewa hadharani kwenye utawala ulopita mlifanyeje au mahakama hazikwepo enzi hizo?

Chongolo ameona mbali aise, kwamba graduates wa nchi hii waende VETA so jiandaeni, make mnataka kuvimba na hamna kitu mfukoni bwashee
 
Lema kaja na moto wa kigeni, kaanza kuwapa za uso bodaboda na vicoba, kawashukia na betting. Ccm wanazidi kujipatia point za kumnyukia, yule ni mwanasiasa mjanja sana, ccm isipende sana kurukia hoja zake na kuanza kumpondea kwa kujipendekeza kwa makundi hayo itaingizwa king na kujikuta imetetea kitu cha hovyo ikaaibika. Lema aendelee kutoa za uso kwa makundi mengine yaliyonasa kwenye mambo ya hovyo
Mengi alivyosema yuko sahihi, mnampinga kwa sababu ukweli ni mchungu..
 
Lema atambue Wananchi wengi wameshafanywa Mazombie na CCM kwa hiyo kuja kumuelewa itachukua muda.
 
Wavaa mabaibui tunaanda press ya kumkemea, sisi tunavaa kama vazi la kujistiri iweje yeye aingilie vazi letu? Vimini hakuviona? Tunaanda press kulaani vikali, vazi hili ni la staha, sio la kutumiwa na Watu wanaoichokoza serikali Kwa makusudi Ili kujificha.

NB, Vipi ndani alikuwa anavaa na kirinda au alikuwa anavaa baibui chukuchuku? Alikuwa anakumbuka kujifukiza na aloud na oud?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ASHTAGHAFIRU ALLAH
umemalizia vibaya sanaa.
 
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Mhhh
 
Wewe ndo uelewi chochote lema yuko sahihi, kwani lema kakosea nini?
Tafuta taarifa zako, changanya, utaelewa. Umemezeshwa. au Unajiondoa ufahamu....jisome👇
Matusi mlokuwa mkipewa hadharani kwenye utawala ulopita mlifanyeje au mahakama hazikwepo enzi hizo?

Chongolo ameona mbali aise, kwamba graduates wa nchi hii waende VETA so jiandaeni, make mnataka kuvimba na hamna kitu mfukoni bwashee
👇
 
Nyamisele

Hayo ni yale unayotaka kupandikiza. Uliyopandikizwa....Hayo hata kama yana ukweli, haumpatii Lema ruhusa, utanisamehe kwa lugha hapo, simply, it does not justify yeye kutamka hayo.

Lakini ni vizuri umeafiki kuwa ni 'Matusi'
Sawa, Chongolo amefanya hivyo. Hatahivyo sikubaliani naye. Anachodai waende kufundishwa Namna na jinsi gani wanaweza kutengeneza ajira zao.

Tuachie hilo.

Hebu niambie, umetumia ulinganishi wa Nchi gani ambako kwa kawaida vijana wakitoka chuoni wanaenda kuajiriwa? Ni nchi gani 'strugling' ni kufanya kwa bidii na nchi gani 'strugling' ni laana? Hao mnaodai wana Capital inabidi wawafanyie kazi wengine ndio waje kupata hizo capital, huku kwetu mtu akijishugulisha na bodaboda kutafuta hiyo capital, tena akiwa huru kufanya hivyo mnasema laana! Tofauti ya hapa na huko nje mnakofanya ulinganishi ni kuwa Kijana akitoka form six anaajiriwa, kitumwa! ndipo anapookota hizo Capital, Skills Experience na kujenga mitandao....kitu ambacho kwetu sisi tunakuwa na mitandao,(networks) life experience n.k halafu tunakuja kutafuta Capital ya kufanya Biashara.....ni chaguzi, umfanyie mtu kazi au uwe wakujifanyia kazi, tena huru kama bodaboda upate Capital....ukweli wa falsafa ya maisha sio wote watatoboa na ipo sehemu yeyote 'Duniani' yaani utoboe au usitoboe!

Isitoshe nimeona sehemu ati '....Bodaboda wanafanya hivyo lakini mwisho wa siku wanalundikana kwenye nyumba....hivyo waonewe huruma kwani huo umasikini ndio laana...', ukija kwa huko mnapolingansiha na 'Falsafa ya maisha' wale wanaolundikana na kufanyishwa kazi waende chuoni, wanaonyesha bidii na ukomavu wa kupambana na maisha katika kujenga uimara na kuheshimu 'Ujengaji wa Capital' (Capital Accumulation) Lakini wa huku kwetu wanakua ni 'Walevi na wasaka Malaya!' kweli hayo?

Huoni kuna bias hapo? bado tu mnaruka kiunzi tena na kuleta pschological hoola hoops kwamba waonewe huruma..... hawajijui....ebo!

Huoni hayo ni fikra za Utopia? Fikra na mawazo ya ukombari? Sidhani unaona hivyo na wala siwezi badilisha doctrine yako

Hoja ambayo kwa maoni yangu ni kuwa ni ya mitazamo ya kibeberu na fikra za kibepari, nitasimama nazo. Kidete! Lema ni Kibaraka wa mabepari wa kibeberu. Nitasimama na hilo pia.👇
 
Fikiria heka heka alizopitia Lema hadi akaja kuokolewa na raia wa Kenya mh.Wajckhoa na kwenda kuishi ukimbizini

Sasa hata akina Halima Mdee na wenzake hawakujipeleka bungeni na hawakuwa na WATU wa kuwatorosha wakawe Wakimbizi

Nasema Chadema iwasamehe kama Lema na Lisu walivyofutiwa kesi zao

Halima Mdee na wenzake 18 watangazwe kuwa ni Wanachama halali wa Chadema na waendelee na Ubunge hadi 2025

Chadema fungueni ukurasa mpya wa Upendo!

Mlale unono
 
Lema ameendelea kuwafungua nafsi Watanzania Kwa kutamka kwamba mtoto wake hatosoma shule ya Kata. Amehoji kama elimu ya msingi na sekondari Inayotolewa na serikali ni nzuri kama wanavyosema wanasiasa, kwanini watoto wao wanawasomesha shule za private?

Amedai kwamba nchini Canada watoto wa viongozi wanasoma vyuo na shule za serikali na hii imefanya elimu ya private na serikali nchini humo kuwa sawa.

Rai yake kwenye Sera ya elimu pamoja na sheria nikulazimisha viongozi wote wakisiasa na utumishi wa umma wasome shule za serikali. Kwa kuwa hakuna mzazi anayependa kizazi chake kiaribikiwe basi watoto wa viongozi wakilazimishwa kusoma shule za serikali miundombinu itaboreshwa na waalimu walio Bora watalazimishwa kufundisha shule za Serikali huku maslahi yakiboreshwa.

I real appreciate this kind of urguments, zinawapush watu wapigane wajikombowe waachane na kuishi maisha ya shida wakimsingizia Mungu.

Mwisho anasema kama Mhe. Rais amemfutia kesi, je masikini wangapi wapo jela na hakuna chance kwao kuonana na Mhe. Rais? Lini wao watapata Haki?

Anazidi kusititiza katiba mpya itakayoratibu upatikanaji wa Haki.
 
Waongo hawa. Magufuli alipokuwa anaboresha hispital za uma na kusema viongozi nao watibiwe humo wao si walikuwa wanashinda kumchafua.

Ila ajue pia matabaka yapogo duniani kote. Hata huko Canada.
 
Waongo hawa. Magufuli alipokuwa anaboresha hispital za uma na kusema viongozi nao watibiwe humo wao si walikuwa wanashinda kumchafua.

Ila ajue pia matabaka yapogo duniani kote. Hata huko Canada.

Hospitali zipi zenye bango la hisani au msaada wa mabeberu au taasisi.

kawadanganye CCM wenzako.

Mpaka leo bila taasisi za dini mikoani serikali hakuwa na hospitali ya kuweka nia
 
Ishauri kwanza CCM iseme ikiri kuwateua na kuwaaoisha Halima na Wenzake kuwa Wabunge kinyume na Katiba
 
Back
Top Bottom