Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
KabisaaaAlichosema ni kweli hata kama wamemshambulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaaAlichosema ni kweli hata kama wamemshambulia
Kwani hata ushoga si ni worldwide? Wanaotumia cocaine na madawa mengine ya kulevya wanayapata buree? Ukweli ndiyo huo hata kama haupendwiBetting ni worldwide sio Tanzania tu, halafu wanabet kwa pesa zao unasemaje kuwa hawafanyi kazi?Kama hawafanyi kazi hizo pesa wanazobet wanazitoa wapi?
Ajira hakuna,mikopo halmashauri wanatoa kwa kujuana utalalamika watu wasibet?
Waende shamba wakalime kuna shamba la 500 au 1000?
Hii kitu mm nimemwambia mtu hapa akabishaJamaa ni CCM wa kimya kimya anawanyima point tu CHADEMA
Wewe ndo uelewi chochote lema yuko sahihi, kwani lema kakosea nini?Naunga mkono.
Sio tu Lema amefanya dhihaka na kukufuru muumba Lema ahukumiwe kama alivyotoa hukumu..
Ningependa kuona maoni ya Wakuu wa Makanisa kuhusu matamshi yake.
They are abominable, repellant, repugnant, and repulsive, more so admissable in a court of law....let alone the court of public opinion!
Maneno yake yanaleta na kuashiria mitawanyiko waliyokusudia pale watakapo shika dola kwa kutumia(sera ya majimbo) ajenda za kibeberu na kibepari....kwa kupandikiza maadili na fikra za kibepari na mitazamo ya kibeberu.
Ni hatari sio tu kwa Jamii ya Mtanzania, bali Mwaafrika kwa ujumla. Apigwe vita kokote kule kwa manene yake.
Aluta Continua.
Mengi alivyosema yuko sahihi, mnampinga kwa sababu ukweli ni mchungu..Lema kaja na moto wa kigeni, kaanza kuwapa za uso bodaboda na vicoba, kawashukia na betting. Ccm wanazidi kujipatia point za kumnyukia, yule ni mwanasiasa mjanja sana, ccm isipende sana kurukia hoja zake na kuanza kumpondea kwa kujipendekeza kwa makundi hayo itaingizwa king na kujikuta imetetea kitu cha hovyo ikaaibika. Lema aendelee kutoa za uso kwa makundi mengine yaliyonasa kwenye mambo ya hovyo
Kabisa mkuuLema kapiga kwenye mishono na aendelee kusanua tu, watu HAWAPENDI kusikia ukweli kwa kuwa ukweli unakera
Umewahi kufatwa kuombwa pesa ya betting?Kwani hata ushoga si ni worldwide? Wanaotumia cocaine na madawa mengine ya kulevya wanayapata buree? Ukweli ndiyo huo hata kama haupendwi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ASHTAGHAFIRU ALLAHWavaa mabaibui tunaanda press ya kumkemea, sisi tunavaa kama vazi la kujistiri iweje yeye aingilie vazi letu? Vimini hakuviona? Tunaanda press kulaani vikali, vazi hili ni la staha, sio la kutumiwa na Watu wanaoichokoza serikali Kwa makusudi Ili kujificha.
NB, Vipi ndani alikuwa anavaa na kirinda au alikuwa anavaa baibui chukuchuku? Alikuwa anakumbuka kujifukiza na aloud na oud?
MhhhKuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..
Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.
Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?
Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?
Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Tafuta taarifa zako, changanya, utaelewa. Umemezeshwa. au Unajiondoa ufahamu....jisome👇Wewe ndo uelewi chochote lema yuko sahihi, kwani lema kakosea nini?
Matusi mlokuwa mkipewa hadharani kwenye utawala ulopita mlifanyeje au mahakama hazikwepo enzi hizo?
👇Chongolo ameona mbali aise, kwamba graduates wa nchi hii waende VETA so jiandaeni, make mnataka kuvimba na hamna kitu mfukoni bwashee
Waongo hawa. Magufuli alipokuwa anaboresha hispital za uma na kusema viongozi nao watibiwe humo wao si walikuwa wanashinda kumchafua.
Ila ajue pia matabaka yapogo duniani kote. Hata huko Canada.