Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Aisee 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo yeye anayekomalia CRYPTO na FOREX hizo siyo BETTING??Huo ni uthibitisho tosha kuwa betting is insanity, ni mateja.
Vv
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..
Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.
Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?
Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?
Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Sijazifuatilia hizo lkn nimefuatilia kuhusu betting. Wengi wanaanza betting for fun/enjoyment kisha viwango vya kushiriki vinaongezeka na kuwa habitual bettors, hapo ndio tunasema ni insanity.Kwahiyo yeye anayekomalia CRYPTO na FOREX hizo siyo BETTING??
Mie nabeti since 2013 na sijaona nikiwa addictedSijazifuatilia hizo lkn nimefuatilia kuhusu betting. Wengi wanaanza betting for fun/enjoyment kisha viwango vya kushiriki vinaongezeka na kuwa habitual bettors, hapo ndio tunasema ni insanity.
Vv
Hizo ni speculationKwahiyo yeye anayekomalia CRYPTO na FOREX hizo siyo BETTING??
Wengine wanasema sababu ni mambo ya lgbt
Yeye simuamini huwa ni muongo sanaYeye mwenyewe anasema ni sababu gani??
How will you frame your cause of action? nani amekuwa wronged? Badaboda ni nini? Can you identify one? Neno Bodaboda Imekuwa defined wapi in a legal sense?Usicheze na defamation. Nataka kuwasaidia bodaboda msaada wa bure wa kisheria defamation. Hii lawsuit ni ya kufidiwa na Mwamba wa kaskazini God bless Lema baada ya UVCCM kukazania eti Lema kuwatukana kazi yao ni ya laana.
Nitashirikiana bega kwa bega na Mataga pamoja na LB7 kuhakikisha bodaboda wanapata haki yao ya msingi.
Mheshiniwa Lema amesababisha taharuki na kuwahathiri bodaboda kisaikolojia na kupelekea utendaji wao wa kazi kushuka.
Wakishinda kesi ya fidia dhid ya Lema mimi wanipe tu asilimia 10%
Kamanda Asiyechoka