Usicheze na defamation. Nataka kuwasaidia bodaboda msaada wa bure wa kisheria defamation. Hii lawsuit ni ya kufidiwa na Mwamba wa kaskazini God bless Lema baada ya UVCCM kukazania eti Lema kuwatukana kazi yao ni ya laana.
Nitashirikiana bega kwa bega na Mataga pamoja na LB7 kuhakikisha bodaboda wanapata haki yao ya msingi.
Mheshiniwa Lema amesababisha taharuki na kuwahathiri bodaboda kisaikolojia na kupelekea utendaji wao wa kazi kushuka.
Wakishinda kesi ya fidia dhid ya Lema mimi wanipe tu asilimia 10%
Kamanda Asiyechoka