Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Shule hana kama mwenyekiti wake tu.Jamaa hajajifunza kuchagua maneno ya kuongea... Kinachomjia akilini anakitoa hapo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule hana kama mwenyekiti wake tu.Jamaa hajajifunza kuchagua maneno ya kuongea... Kinachomjia akilini anakitoa hapo hapo
Lema akili hana nimemuona mshamba sana kama kila jambo anajifanya amelibaini baada ya kufika Canada
USSR
Mrembo, kusajiri line ni kazi ambayo hata huko Canada na marekani wanafanya, tofauti tu ni kwamba kwao malipo ni mazuri kupita kwetu. Makampuni yote ya simu yana ofisi ambapo wateja wapya husajiri line na kulipia bill zao. Na kuna kampuni binafsi hufanya kazi hizo kama independent agents wa kampuni za simu. Asikudanganye mtu dada yangu.Maisha yetu magumu sana lakini hamna mzazi anayelipa ada ili mwanae aje kuwa bodaboda.
Hamna mzazi anayepata mimba na kuwish atakaye mzaa aje kusajili line
Sio Lema tu Chadema imeejaa wapuuzi wengi sana ambao wamekuwa entertained kwa miaka mingi sana.
Wameharibu akili za vijana wengi mno.
Hapo umemshambulia tu. Na yawezekana ni wivu. Ungeeleza hizo hatua na uelezee kuhusu ubora na usalama wa kazi ya bodaboda.Lema anajidai kuwasanifu madereva wa bodaboda na kutamba kwamba yeye yuko vizuri. Kwanza ni mjinga anashindwa kutambua hakuna kazi halali isiyokua na madhara ya muda mrefu kiafya...
Yeye pia alikuwa ni mwizi wa magari pale Arusha je hiyo kazi haikuwa ya hatari?Hapo umemshambulia tu. Na yawezekana ni wivu.Ungeeleza hizo hatua na uelezee kuhusu ubora na usalama wa kazi ya bodaboda.
Nimuonee wivu mkimbizi feki? Kwani anavyojidai ana biashara canada unafikiri ndio kashafanikiwa? Labda kwa kulipwa kwa kukubali ukimbizi feki. Canada sio mbinguni watu tunafahamu fursa gani zipo.Hapo umemshambulia tu.Na yawezekana ni wivu.Ungeeleza hizo hatua na uelezee kuhusu ubora na usalama wa kazi ya bodaboda.
Ndiyo uwaoneshe bodaboda hizo fursa unazozifahamu ili Lema aache kelele.Nimuonee wivu mkimbizi feki? Kwani anavyojidai ana biashara canada unafikiri ndio kashafanikiwa? Labda kwa kulipwa kwa kukubali ukimbizi feki. Canada sio mbinguni watu tunafahamu fursa gani zipo.
Naamini mnao ushahidi imara. Mfungulieni mashtaka. Jinai huwa haitoroki mtu/haifi. Bila hivyo mnaonekana kama madereva wa maguta tu.Yeye pia alikuwa ni mwizi wa magari pale Arusha je hiyo kazi haikuwa ya hatari?
Mkuu sio kweliMtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012
Tofauti:
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316
Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000
Swali : Kenya wanachota gesi baharini?
Erythrocyte
Utakuwa wa makamo mwenzangu umenikumbusha stori za Mchonga..any ways hata kwenye biblia Kuna manabii wengi hawakuwa na masinagogi🏃🏃Nabii si angefungua kanisa kama yeye ni nabii. Analeta swaga za Mwalimu aliekuwa anaangalia TV ikulu na kuja kusema ameota.