ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Nimewahi kutumia PEP siku 30 na zenyewe zina maluweluwe kama hizo ARV sina hamu, yaani mtihani. Nilibanduaga kavu kavu malaya aliyekubuhu bila kujua. Sema nilimfaidi sana maana alikuwa fundi kweli kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
All I know kila mmoja wetu ni mgonjwa mtarajiwa. Tupo kwenye risk sana haswa tuliooa. Maana we unaweza kuwa umetulia unajitunza mwenzio kumbe anachepuka na Mgonjwa!
images%20(41).jpg
 
Hizi IDs zinazoshuhudia maajabu ya ARVs, mara sijui ARVs za siku hizi zina uchachu, mara maluwe luwe[emoji81][emoji81], Kuna watu mnawaumiza vichwa mjue, chain.

All in all ishini kwa matumaini.
“UKIMWI upo na unaua”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ACHENI KUPEANA MATANGO PORI.

DAMU O+ HAINA CHOCHOTE JUU YA HIV ....

YAAN UKIZENGUA, UNAPATA NGOMA KAMA KAWAIDA.

KWAUFUPI DUNIANI WATU WENYE O+ WANACHUKUA 70% YA IDADI YOTE YA WATU.
Mkuu acha wadanganyane blood group has nothing to do with viral replication in T helper cell of lymphocytes in immune system
Kuna muhumi hapo juu anasema yy alifanya had researched kwa 0+ yake sijui kama anajua maana ya research bahati jf kila mtu ni expert kwenye kila kitu
 
Mimi nikiwa kavulana nilikuwa na jimama langu linanilea, kuna siku lilisafiri kibiashara, likaniachia nyumba niwe muangalizi,

Sijui kitu gani kilifanya nipekue pekue kule chumbani, bahati mbaya/ nzuri likasahau kufunga dro ya kabati.

Si nikakumbana na mikadi ya mahudhurio yameandikwa CTC

Yalikuwa ya kuchukulia dawa. Nilichanganyikiwa ,asubhuhi na mapema nikayabeba makadi hadi hiyo hospitali yenye hiyo kriniki,ilikuwa hospitali ya wilaya.

Wakanijibu huyu mtu anahudumiwa hapa miaka mingi tu, ni nani yako? Nikawambia ni mpenzi wangu,wakashangaa, wewe kijana limama lote lile la nini? Itabidi tukupime mara tatu kila baada ya miezi mitatu.

Lakini kwakanionya sio vizuri kupekuwa na kubeba vitu binafsi vya watu bila ridhaa yao.
Nilipima majibu yakawa safi ,sikupata maambukizi.
Sasa bhana wakati natoka nimeshika makadi yale nakuta watu kama 100+, wana kama mkutano hivi,waliponiona na zile kadi wamama wakajishika kichwa kwa mshangao.
Nahisi walidhani ni mtumiaji wa yale madawa nakipindi hiko nilikuwa mvulana mdogo.
UKIMWI upo ,tena watu wengi mitaani wanao.
Jinsi alivyorudi na kumpa taarifa ,na jinsi mama alivyolipokea ile taarifa,hiyo ni kesi ingine,pale ndio nilijua uchungu wa mwana aujuae mzazi[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zinasaidia kwa zaidi ya 80% endapo utawahi kabla ya masaa 72 baada kumbandua mwenye ngoma, pia ufate masharti ya kunywa vidonge vyote kwa muda sahihi kwa mwezi mzima.
Sema sasa ndio uwe mvumilivu maana vinalewesha na unakuwa kama unaumwa hivi.
Unaruhusiwa kunywa POMBE,,, ukiwa unameza PEP...????
 
Huu ugonjwa kama umesahaulika vile kwenye kampeni za kinga....mkazo umewekwa kwenye hizo dawa za kufubaza makali.

Habari za radio mbao zinasema vijana wengi sana wanao kwa sasa wanapata huduma katika kliniki mbalimbali, wale wenye majina majina mjini ndio dooh....hatari sana.

Ukimwi upo na siku hizi hauonekani kwa macho walionao wamenawiri shauri ya dawa na 'dayati'.
Kiukweli ukiangalia kama kuna kampeni fulani hv ya kufanya biashara ya arv's.
Zaman mkazo ulikuwa umewekwa kwenye kinga zaid lkn sku hz mkazo unawekwa kwenye kunywa arv's zaid na sio kinga.
 
Ukimwi ni ngumu sana kuupata na ni rahisi sana kuupata kazio kwenye hili eneo mpaka unapata ukimwi ni umeutafuta kwa tochi punguzeni ujuaji kwenye bed ukimwaga inatosha akikudharau unapungukiwa nini?
Bonge moja la point,tatizo watu wanataka kujifanya wanajua maufundi na kutaka kukomeshana.Ww mtu.ndio kwanza umekutana nae huna ata sku 2/3 unajifanya ww ndio unajua sana kusimamia ukucha.Utaupata tu na uwehu wako.
 
Mimi nikiwa kavulana nilikuwa na jimama langu linanilea, kuna siku lilisafiri kibiashara, likaniachia nyumba niwe muangalizi,

Sijui kitu gani kilifanya nipekue pekue kule chumbani, bahati mbaya/ nzuri likasahau kufunga dro ya kabati.

Si nikakumbana na mikadi ya mahudhurio yameandikwa CTC

Yalikuwa ya kuchukulia dawa. Nilichanganyikiwa ,asubhuhi na mapema nikayabeba makadi hadi hiyo hospitali yenye hiyo kriniki,ilikuwa hospitali ya wilaya.

Wakanijibu huyu mtu anahudumiwa hapa miaka mingi tu, ni nani yako? Nikawambia ni mpenzi wangu,wakashangaa, wewe kijana limama lote lile la nini? Itabidi tukupime mara tatu kila baada ya miezi mitatu.

Lakini kwakanionya sio vizuri kupekuwa na kubeba vitu binafsi vya watu bila ridhaa yao.
Nilipima majibu yakawa safi ,sikupata maambukizi.
Sasa bhana wakati natoka nimeshika makadi yale nakuta watu kama 100+, wana kama mkutano hivi,waliponiona na zile kadi wamama wakajishika kichwa kwa mshangao.
Nahisi walidhani ni mtumiaji wa yale madawa nakipindi hiko nilikuwa mvulana mdogo.
UKIMWI upo ,tena watu wengi mitaani wanao.
Jinsi alivyorudi na kumpa taarifa ,na jinsi mama alivyolipokea ile taarifa,hiyo ni kesi ingine,pale ndio nilijua uchungu wa mwana aujuae mzazi[emoji38][emoji38][emoji38]

Ulimtongoza au alikutongoza?dah....hv huwa mnaongea nini mkiwa na hao wamama watu wazima!?bora mpishane walau 5yrs ..isizidi...napo tu bado kuna mambo hayatakuwa sawa ujue🤣
 
Back
Top Bottom