[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimewahi kutumia PEP siku 30 na zenyewe zina maluweluwe kama hizo ARV sina hamu, yaani mtihani. Nilibanduaga kavu kavu malaya aliyekubuhu bila kujua. Sema nilimfaidi sana maana alikuwa fundi kweli kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah! Kwenye lishe hapo namkumbuka uncle . Alikuwa na shehena kabisa ya unga wa ulezi,alipofariki wacha tuushambulie na blue band zake[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ndom inaondoka na utamu
All I know kila mmoja wetu ni mgonjwa mtarajiwa. Tupo kwenye risk sana haswa tuliooa. Maana we unaweza kuwa umetulia unajitunza mwenzio kumbe anachepuka na Mgonjwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi IDs zinazoshuhudia maajabu ya ARVs, mara sijui ARVs za siku hizi zina uchachu, mara maluwe luwe[emoji81][emoji81], Kuna watu mnawaumiza vichwa mjue, chain.
All in all ishini kwa matumaini.
“UKIMWI upo na unaua”
Mkuu acha wadanganyane blood group has nothing to do with viral replication in T helper cell of lymphocytes in immune systemACHENI KUPEANA MATANGO PORI.
DAMU O+ HAINA CHOCHOTE JUU YA HIV ....
YAAN UKIZENGUA, UNAPATA NGOMA KAMA KAWAIDA.
KWAUFUPI DUNIANI WATU WENYE O+ WANACHUKUA 70% YA IDADI YOTE YA WATU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikiwa kavulana nilikuwa na jimama langu linanilea, kuna siku lilisafiri kibiashara, likaniachia nyumba niwe muangalizi,
Sijui kitu gani kilifanya nipekue pekue kule chumbani, bahati mbaya/ nzuri likasahau kufunga dro ya kabati.
Si nikakumbana na mikadi ya mahudhurio yameandikwa CTC
Yalikuwa ya kuchukulia dawa. Nilichanganyikiwa ,asubhuhi na mapema nikayabeba makadi hadi hiyo hospitali yenye hiyo kriniki,ilikuwa hospitali ya wilaya.
Wakanijibu huyu mtu anahudumiwa hapa miaka mingi tu, ni nani yako? Nikawambia ni mpenzi wangu,wakashangaa, wewe kijana limama lote lile la nini? Itabidi tukupime mara tatu kila baada ya miezi mitatu.
Lakini kwakanionya sio vizuri kupekuwa na kubeba vitu binafsi vya watu bila ridhaa yao.
Nilipima majibu yakawa safi ,sikupata maambukizi.
Sasa bhana wakati natoka nimeshika makadi yale nakuta watu kama 100+, wana kama mkutano hivi,waliponiona na zile kadi wamama wakajishika kichwa kwa mshangao.
Nahisi walidhani ni mtumiaji wa yale madawa nakipindi hiko nilikuwa mvulana mdogo.
UKIMWI upo ,tena watu wengi mitaani wanao.
Jinsi alivyorudi na kumpa taarifa ,na jinsi mama alivyolipokea ile taarifa,hiyo ni kesi ingine,pale ndio nilijua uchungu wa mwana aujuae mzazi[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TAKAIDS Kama wapo likizo. Mapenzi yanagaiwa Kama njugu mtandaoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwann ujute mzee, ipi bora kati ya kupata ukimwi na kupiga nyeto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka useme vibamia vina faida
Pole sana mpwaAlaf ARV za skuizi ni chachu chachu sijui kama mmegundua hilo
Unaruhusiwa kunywa POMBE,,, ukiwa unameza PEP...????Zinasaidia kwa zaidi ya 80% endapo utawahi kabla ya masaa 72 baada kumbandua mwenye ngoma, pia ufate masharti ya kunywa vidonge vyote kwa muda sahihi kwa mwezi mzima.
Sema sasa ndio uwe mvumilivu maana vinalewesha na unakuwa kama unaumwa hivi.
Hahaha si verse ya prof Jay kwenye wimbo wa feouz stareheDuhhhh....😲
Pole sana mkuu. Kupata maambukizi sio kufa.
Anza kula vizuri, mrudie Mungu wako, fanya mazowezi na kisha punzisha mwilj wako
Kiukweli ukiangalia kama kuna kampeni fulani hv ya kufanya biashara ya arv's.Huu ugonjwa kama umesahaulika vile kwenye kampeni za kinga....mkazo umewekwa kwenye hizo dawa za kufubaza makali.
Habari za radio mbao zinasema vijana wengi sana wanao kwa sasa wanapata huduma katika kliniki mbalimbali, wale wenye majina majina mjini ndio dooh....hatari sana.
Ukimwi upo na siku hizi hauonekani kwa macho walionao wamenawiri shauri ya dawa na 'dayati'.
Bonge moja la point,tatizo watu wanataka kujifanya wanajua maufundi na kutaka kukomeshana.Ww mtu.ndio kwanza umekutana nae huna ata sku 2/3 unajifanya ww ndio unajua sana kusimamia ukucha.Utaupata tu na uwehu wako.Ukimwi ni ngumu sana kuupata na ni rahisi sana kuupata kazio kwenye hili eneo mpaka unapata ukimwi ni umeutafuta kwa tochi punguzeni ujuaji kwenye bed ukimwaga inatosha akikudharau unapungukiwa nini?
Mimi nikiwa kavulana nilikuwa na jimama langu linanilea, kuna siku lilisafiri kibiashara, likaniachia nyumba niwe muangalizi,
Sijui kitu gani kilifanya nipekue pekue kule chumbani, bahati mbaya/ nzuri likasahau kufunga dro ya kabati.
Si nikakumbana na mikadi ya mahudhurio yameandikwa CTC
Yalikuwa ya kuchukulia dawa. Nilichanganyikiwa ,asubhuhi na mapema nikayabeba makadi hadi hiyo hospitali yenye hiyo kriniki,ilikuwa hospitali ya wilaya.
Wakanijibu huyu mtu anahudumiwa hapa miaka mingi tu, ni nani yako? Nikawambia ni mpenzi wangu,wakashangaa, wewe kijana limama lote lile la nini? Itabidi tukupime mara tatu kila baada ya miezi mitatu.
Lakini kwakanionya sio vizuri kupekuwa na kubeba vitu binafsi vya watu bila ridhaa yao.
Nilipima majibu yakawa safi ,sikupata maambukizi.
Sasa bhana wakati natoka nimeshika makadi yale nakuta watu kama 100+, wana kama mkutano hivi,waliponiona na zile kadi wamama wakajishika kichwa kwa mshangao.
Nahisi walidhani ni mtumiaji wa yale madawa nakipindi hiko nilikuwa mvulana mdogo.
UKIMWI upo ,tena watu wengi mitaani wanao.
Jinsi alivyorudi na kumpa taarifa ,na jinsi mama alivyolipokea ile taarifa,hiyo ni kesi ingine,pale ndio nilijua uchungu wa mwana aujuae mzazi[emoji38][emoji38][emoji38]
Ah kwa utam utam ule wacha tuu tufe nao ila hatuachi ng'oooYaan ni tafrani tupu lol,
Mungu au shetani?? Shetani ndio kaliweka hapo bwana ili atunase vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Mungu fundi aseeh hili janga ameweka pale pale pakunoga, hachomoki mtu daaaah.
Nguvu ya kulitongoza limama unatoa wapi? Lilinitongoza lenyewe[emoji38][emoji38]Ulimtongoza au alikutongoza?dah....hv huwa mnaongea nini mkiwa na hao wamama watu wazima!?bora mpishane walau 5yrs ..isizidi...napo tu bado kuna mambo hayatakuwa sawa ujue[emoji1787]