ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Ugonjwa umekaa pabaya sheikh, acha utuue
 
Ni kweli asilimia kubwa ya watu wenye O+ hawapati HIV kirahisi, nina mfano hai wa mtu wangu wa karibu kabisa, miaka hiyo yule bwana na mahawara zake kibao walishaiacha dunia kwa ukimwi ila yeye yupo hadi leo, kila akipima ni negative
Acheni story za vijiweni..

Sikilizeni wataalamu wa afya wa avyosema.
 
Mi ndugu yangu anaishi moro ila anachukulia mnazi mmoja...manesi anawapa mshiko wa maana maana mi ratiba zangu zilibana kuwa namtumia kwenye basi, so wao now ndo wanafanya hii shughuli

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimewahi kutumia PEP siku 30 na zenyewe zina maluweluwe kama hizo ARV sina hamu, yaani mtihani. Nilibanduaga kavu kavu malaya aliyekubuhu bila kujua. Sema nilimfaidi sana maana alikuwa fundi kweli kweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Daaa JF unaweza uonekane wewe una roho ya kifashisti kuchekelea matatizo ya wenzako, kumbe unacheka jinsi tatizo lilivyoelezewa...

Kuna shughuli nyingne inaitwa PEP 72HRS, ile unaweza ukainywa, baada ya masaa kadhaa unatafuta dawa uitapike,
Inareact vip mkuu?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa mwaka gani hii?...wanaomeza dawa huwezi wakuta na haya maishu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…