ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Daaah sijui ntakua nishawahi kumla huyo aunt wako,manake nilishawhi kuishi huko mida fulani na niliwapelekea moto sana mashangazi wazurizuri
Mkuu fanya kupima ujihakikishie, ukiwa salama weka mafuta taa kwenye kila chakula ukate genyee[emoji2960][emoji2960]
 
Nimesoma comments chache za mwanzoni nimegundua watu wengi humu ndani wana negative mindi( akili finyu na hasi) hakuna hata sehemu moja mleta mada amesema amepata UKIMWI cha kushangaza watu mmeanza mshambulia Pole, wengine pole sijui wengine anakuaje mzembe.

Sasa kama kasimuliwa na mtaalamu wa madawa je? Au ndugu yake wa karibu je?.

Acheni kuwa na upeo mdogo wa kufikiri. Kwa akili hizi tutaishiwa kupekekeshwa na kuletewa mambo mpaka mwisho wa dunia.
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.

**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu
!
Nnzi kufia kwenye kidonda ni halali yake
 
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.

**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu
!
Mkuu cha msingi nikujikinga tu ila ukimwi hauenezwi kwa ngono pekee.
 
Ugonjwa umekaa pabaya sana.
aaah! Ev! yaaani kule ni kubaya? ona sasa! tumetoka huko huk0! na tuna rudi tena jamani!Mwee! ule utamu bana haunaga mpinzani majemedari wenyewe wanakomaga! sembuse nyarusare na Evelyn? ! daaa mnatuwezea kweli!

hasa kifua kina tumalizaga sana! viko kama vituta viwili hivi mbinuko! vyenye kimviringo cheusi na vipele! halafu kinabadilikaga ivi! km kinakigumu gumu uwa na mikunjo! halafu wengine bana wanatupatiaga sana! unapewa kimya kimya kula hiki!

halafu sasa unashuka! jamani!.... jamani! jamani! utakumbuka ndom! kweli? sijui kuna nini palee??! ebu chuguza..... ndo maana tuko wengi! halafu watamu woote!
 
t
Kujiendekeza tu[emoji848]
Tena nyie ke ndo kabisaa!! hainaga ustaa ile! kwenu nyie!!...... jifanye kukomaa uone kichaa chake! si unaijua ile ya Hyteria ya wasichana wa Boarding? wkt tunasoma mpaka shule zina fungwa au umeshasahau mara hii!

mpaka vivulana vinaagizwa kuja kuwa peti peti! kwenye Madisco au siyo nyie??! Lugambwa Girls, sec. hamko humu kweli. Bwiru girls seco, mnajifanya wajanja leo??? tuwaache?? nakuuliza tuwaache!! km hamja toana ngeu kwa ukichaa?

sie ndo dawa yenu! ili muwe salama!! hata Boss ke ofisini kwako ambae hana hii dawa, lazima awe mkaliiiiiiiiiiiiii..............Mungu mtaalamu sana kamata moja uishi salama!
 
Back
Top Bottom