As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

Yn nyie mmelaniwa, ss ndo unaonesha nn hapa km unaweka render weka na huo mradi ulipofika, ss ww unaweka render ya mradi mwngine zen unatuonesha mradi mwngine [emoji3][emoji3][emoji3]
bukhungu stadium ndio hizo picture zake //uwanja unaakuja pole pole ...
1595101582425.png

1595101753950.png

to make work easier for you fuatilizia hii link utaona penye imefikia hio stadium.. Gallery Bukhungu Stadium in Kakamega

Kinoru stadium ndio hio iko about to be completed..
.
1595102045547.png

kisumu stadium fuatilizia hilo link utaona hadi picture zake penye imefika....https://constructionreviewonline.com/2020/05/kenya-begins-jomo-kenyatta-sports-ground-construction-in-kisumu/
 
bukhungu stadium ndio hizo picture zake //uwanja unaakuja pole pole ...View attachment 1510556
View attachment 1510561
to make work easier for you fuatilizia hii link utaona penye imefikia hio stadium.. Gallery Bukhungu Stadium in Kakamega

kinoru stadium ndio hio iko about to be completed...View attachment 1510571

kisumu stadium fuatilizia hilo link utaona hadi picture zake penye imefika....https://constructionreviewonline.com/2020/05/kenya-begins-jomo-kenyatta-sports-ground-construction-in-kisumu/
Hebu toa uchafu bhn uwanja unaitwaga bukhungu we ushawahi kuckia wapi kiwanja chenye hadhi yake kinaitwa bukhungu? Mbn unaleta jokes kwny vitu serious.
 
Teargass,

Buda, hatukumuomba Mmorocco akuje kujenga stadia. Alikuja mwenywe n akaahidi kujenga the biggest mosque in eac ambayo ameshajenga n stadia ambayo cjui progress yake.

Hii project ya Kenya kujenga stadia inaonyesha tofauti btn us. Uhuru promised 5 stadiums all over the country, amejenga ngapi so far that now he's finishing his reign? Tz iko level ya every giant club owning its own stadia. usiiitaje tz kwenye vitu vya kipumbavupumbavu pulis
Mmoroco hajengi tena mzee mbaba alisha cut iyo project ya wamoroco instead tunajenga kwa feza zetu japo sio structure ile ya awali ya wamoroco

TAKE IYO .
 
For mahia humfunga simba Sportpesa Cup ambayo Simba haichukilii serious...kama kombe la mbuzi tu, hivyo huchezeshwa kikosi cha pili.

Naomba ntajie siku full squad ya simba ilifungwa na Gormahia.
Hahaha!!we acha maneno mwngi bana, mpka bandari pia kamdanda bana[emoji23][emoji23].
Timu za bongo kenya hushinda kw pwnati tu
 
Hahhaah halafu sikujua kama wewe ni fala hivyo.. au na hilo jengo la vioo nyuma ya uwanja nalo unatakla kusema ni sehemu ya nyayo stadium? Hii ndio Nyayo.

Halafu huo upupu wa picha ya uwanja na jengo la glass angalia wakunyawenzio wanavyopiga kelele kwa huu utopolo. Umechukua hapa.

Kenya hawana kiwanja hata kimoja na hawatokua nacho sababu ligi yao haijiendeshi mbayaaa imepooza kama mate ligi ya Tanzania ni sawa na ligi ya England Kwa hapa E. A, na ndio maana mchezaji akisajiliwa kutoka kenya mara ya Kwanza kucheza pale taifa tumbo joto maana umati wa watu elfu 60 wote wanakuangalia sio mchezo ushazoe kucheza kwenye watu elfu 10.
 
Hahaha!!we acha maneno mwngi bana, mpka bandari pia kamdanda bana[emoji23][emoji23].
Timu za bongo kenya hushinda kw pwnati tu
Club ranking simba ni ya Ngapi Afrika? Gormahia ni ya ngapi?

Unajua kabisa mlimfunga simba kombe la mbuzi.....
VPL>>>>>ligi ya Kenya.
Kila kijana huko kwenu anawaza kuja kucheza bongo.
Kahata kaja Simba tunaona maisha yake yapo juu saiv...

Ni juzi tu hapo.....katoka kugawa Lita 10000 za maji....sijui serikali yenu ilikuwa wapi?
 
Kahata yuko comfortable, anajiona kama anachezea ligi kuu ya Uingereza kwasasa.

Hata watanzania wanaokwenda kucheza ligi kuu ya Kenya huwa wanakwenda kwa lengo la kupandisha viwango vyao tu ili wasajiliwe na timu za Tanzania.

Ligi kuu ya Kenya ina hali mbaya mno, kuna timu hazitokei viwanjani hata kama ni timu wenyeji. Unaweza kukuta Goh Mahia inakwenda Mombasa kucheza na Bandari,lakini Bandari isitokee uwanjani kisa ukata na wachezaji kutofanya mazoezi.
 
mswahili hovyo sanaa dah! lini ataacha kumlamba lamba mwarabu mazee !!😂
 
Kahata yuko comfortable, anajiona kama anachezea ligi kuu ya Uingereza kwasasa.

Hata watanzania wanaokwenda kucheza ligi kuu ya Kenya huwa wanakwenda kwa lengo la kupandisha viwango vyao tu ili wasajiliwe na timu za Tanzania.

Ligi kuu ya Kenya ina hali mbaya mno, kuna timu hazitokei viwanjani hata kama ni timu wenyeji. Unaweza kukuta Goh Mahia inakwenda Mombasa kucheza na Bandari,lakini Bandari isitokee uwanjani kisa ukata na wachezaji kutofanya mazoezi.
Hawa majamaa wanaweza bisha hata ukweli....wao Kenya ni bora kwa kila kitu wakiwa hapa,
Ila wakiwa kibera huko, ukweli wanaujua wenyewe.
 
Tatizo huwa wanajimwambafai wakifikiri hatuwajui. Wako hovyo sana.
 
Kahata yuko comfortable, anajiona kama anachezea ligi kuu ya Uingereza kwasasa.

Hata watanzania wanaokwenda kucheza ligi kuu ya Kenya huwa wanakwenda kwa lengo la kupandisha viwango vyao tu ili wasajiliwe na timu za Tanzania.

Ligi kuu ya Kenya ina hali mbaya mno, kuna timu hazitokei viwanjani hata kama ni timu wenyeji. Unaweza kukuta Goh Mahia inakwenda Mombasa kucheza na Bandari,lakini Bandari isitokee uwanjani kisa ukata na wachezaji kutofanya mazoezi.
Hahahaha nchi ya timu moja, nchi nzima timu gormahia tu
 
Yn mkioneshaga render af na mnachojenga huwa nabaki kujickia fahari sn kuwa katika nchi ambayo ujenzi unazingatia renders.
Renders tunaonesha humalizwa kujengwa 90% of the time. Nyinyi na Bagamoyo mlitupigia kelele na hata hakuna kitu [emoji23]. PR tupu tu ndio maana Dar ndio kila kitu Tanzania. Hakuna project ya maana inje ya Dar unlike kenya hata Turukana iko na Miradi.
 
Back
Top Bottom