The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Sitaki nikupeleke Dodoma au mwanza ambako kuna miradi mikubwa hata Dar haikanyagi, we saizi yako hii hapa[emoji116][emoji116]Renders tunaonesha humalizwa kujengwa 90% of the time. Nyinyi na Bagamoyo mlitupigia kelele na hata hakuna kitu [emoji23]. PR tupu tu ndio maana Dar ndio kila kitu Tanzania. Hakuna project ya maana inje ya Dar unlike kenya hata Turukana iko na Miradi.