As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

Renders tunaonesha humalizwa kujengwa 90% of the time. Nyinyi na Bagamoyo mlitupigia kelele na hata hakuna kitu [emoji23]. PR tupu tu ndio maana Dar ndio kila kitu Tanzania. Hakuna project ya maana inje ya Dar unlike kenya hata Turukana iko na Miradi.
Sitaki nikupeleke Dodoma au mwanza ambako kuna miradi mikubwa hata Dar haikanyagi, we saizi yako hii hapa[emoji116][emoji116]
Screenshot_2020-07-18-18-24-14.jpeg
 
Club ranking simba ni ya Ngapi Afrika? Gormahia ni ya ngapi?

Unajua kabisa mlimfunga simba kombe la mbuzi.....
VPL>>>>>ligi ya Kenya.
Kila kijana huko kwenu anawaza kuja kucheza bongo.
Kahata kaja Simba tunaona maisha yake yapo juu saiv...

Ni juzi tu hapo.....katoka kugawa Lita 10000 za maji....sijui serikali yenu ilikuwa wapi?
Simba ndio inababaikia wachezaji wakali
 
Matunda ya katiba mpya na bora kushinda nyingi Africa. Mtaelewa tu endeleeni kusubiri.
Pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pima pimaaa tushaelewa sasa hivi inamaanisha nini
 
Kenyan County governments are more efficient than the central government of most nations. Let`s take an example with Tanzania and Mombasa, the Magufuli government is depending on the Morrocan Government to build Dodoma stadium while Mombasa stadium is getting built without even the help of the central government. This shows how devolution has been a game-changer in Kenya. Let`s see what is cooking in county 001.




County moja inajenga uwanja wa mpila,mnajisifu,
Wakati serikali yenu inakopa nje,Euro bond,zaidi ya billioni 500,kulipa mishahara sasa chakujivunia ni kipi hapo?
 
Kenyan County governments are more efficient than the central government of most nations. Let`s take an example with Tanzania and Mombasa, the Magufuli government is depending on the Morrocan Government to build Dodoma stadium while Mombasa stadium is getting built without even the help of the central government. This shows how devolution has been a game-changer in Kenya. Let`s see what is cooking in county 001.




Magufuli aliomba msaada kutoka kwa Jacob Zuma , kabla Zuma hajatumbuliwa, sijui alipewa ule msaada.
 
Teargass,

Buda, hatukumuomba Mmorocco akuje kujenga stadia. Alikuja mwenywe n akaahidi kujenga the biggest mosque in eac ambayo ameshajenga n stadia ambayo cjui progress yake.

Hii project ya Kenya kujenga stadia inaonyesha tofauti btn us. Uhuru promised 5 stadiums all over the country, amejenga ngapi so far that now he's finishing his reign? Tz iko level ya every giant club owning its own stadia. usiiitaje tz kwenye vitu vya kipumbavupumbavu pulis
Hivi Yanga na Simba bongo ndio giant club ?
 
Economy
Health
Mombasa port doubles all Tanzanian ports combined
JKIA handles more passengers than all Tanzanian airports combined.
Education
Roads
Trade
Agriculture
Our cities are better than all your cities
Among many more.
Dah...Kenya huwezi linganisha na Bongo hata kidogo...iko mbele sana...Kenya linganisha na nchi za Ulaya... Kama bongo hatuna mgonjwa hata mmoja wa corona wakati Kenya ina zaidi ya wagonjwa 10K+ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"Dodoma stadium in Tanzania to become largest stadium in Africa" Dodoma stadium in Tanzania to become largest stadium in Africa

"Top 10 biggest stadiums in Africa 2020 ▷ Tuko.co.ke" Here are the biggest stadiums in Africa: Countries with the best facilities
 
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali na katibu mkuu wizara ya habari, vijana na michezo ndugu Hassan Abbas anasema serikali imechukua jukumu la kujenga uwanja wa Dodoma kwa pesa zake baada ya Morocco kutoeleweka.
Wakenya hamuwezi kulijua hili maana mko busy mnabaka wagonjwa wa corona
 
Wachezaji wakali?.....

Kahata alikuwa big fish kwenye small pond( Gormahia).

Ila kaja huku hakuna anayemtukuza, lazima apambanie namba.

Top scorers wa ligi zote EA wamekuja bongo na kuchemsha....
Kwa miaka tofauti tofauti.
Huyo simba kaenda kuzeekea hko
Screenshot_20200719-175858_Opera%20Mini.jpg
 
Tazama nchi ya watu wenye akili nyingi watu tushamaliza tatizo la Corona hatukumbuki hata hizo barakoa zinavaliwaje, mpaka brother wenyu kazoe maisha ya bongo anakula raha tu
Waliokufa mpka sasa hko mitaani mumewapima corona kwan. Mbna mnaweweseka sana na wakati kwenu hampimi maiti.

Ama ulihakikishiwa kama corona inaua kila mtu.
 
Mkuu inaonekana ww sio mtu wa mpira.
Wachezaji huwa kwenye ubora wao katika miaka 25_30. Kaja simba akiwa na miaka 27 so ni kwenye peak yake.
Hahahaa!!labda Bongo.

We unafikiria unaweza mlinganisha ronaldo na messi enzi zao za under na sasa. Kweli wewe hujui kitu
 
Back
Top Bottom