The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Yn nyie mmelaniwa, ss ndo unaonesha nn hapa km unaweka render weka na huo mradi ulipofika, ss ww unaweka render ya mradi mwngine zen unatuonesha mradi mwngine [emoji3][emoji3][emoji3]usisahau bukhungu stadium yenye iko bungoma View attachment 1510441
wote stadium View attachment 1510443
kinoru stadium View attachment 1510446
kisumu stadiumView attachment 1510448
bukhungu stadium ndio hizo picture zake //uwanja unaakuja pole pole ...Yn nyie mmelaniwa, ss ndo unaonesha nn hapa km unaweka render weka na huo mradi ulipofika, ss ww unaweka render ya mradi mwngine zen unatuonesha mradi mwngine [emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu toa uchafu bhn uwanja unaitwaga bukhungu we ushawahi kuckia wapi kiwanja chenye hadhi yake kinaitwa bukhungu? Mbn unaleta jokes kwny vitu serious.bukhungu stadium ndio hizo picture zake //uwanja unaakuja pole pole ...View attachment 1510556
View attachment 1510561
to make work easier for you fuatilizia hii link utaona penye imefikia hio stadium.. Gallery Bukhungu Stadium in Kakamega
kinoru stadium ndio hio iko about to be completed...View attachment 1510571
kisumu stadium fuatilizia hilo link utaona hadi picture zake penye imefika....https://constructionreviewonline.com/2020/05/kenya-begins-jomo-kenyatta-sports-ground-construction-in-kisumu/
Mmoroco hajengi tena mzee mbaba alisha cut iyo project ya wamoroco instead tunajenga kwa feza zetu japo sio structure ile ya awali ya wamorocoTeargass,
Buda, hatukumuomba Mmorocco akuje kujenga stadia. Alikuja mwenywe n akaahidi kujenga the biggest mosque in eac ambayo ameshajenga n stadia ambayo cjui progress yake.
Hii project ya Kenya kujenga stadia inaonyesha tofauti btn us. Uhuru promised 5 stadiums all over the country, amejenga ngapi so far that now he's finishing his reign? Tz iko level ya every giant club owning its own stadia. usiiitaje tz kwenye vitu vya kipumbavupumbavu pulis
Hicho kieneo mbona kidogo sanaKwanza wanajenga kiwanja au mfano wa kiwanja
For mahia humfunga simba Sportpesa Cup ambayo Simba haichukilii serious, kama kombe la mbuzi tu,Gor mahia anamdanda simba apendavyo eti kisha unasema huwajui waume waume zao
Hahaha!!we acha maneno mwngi bana, mpka bandari pia kamdanda bana[emoji23][emoji23].For mahia humfunga simba Sportpesa Cup ambayo Simba haichukilii serious...kama kombe la mbuzi tu, hivyo huchezeshwa kikosi cha pili.
Naomba ntajie siku full squad ya simba ilifungwa na Gormahia.
Kenya hawana kiwanja hata kimoja na hawatokua nacho sababu ligi yao haijiendeshi mbayaaa imepooza kama mate ligi ya Tanzania ni sawa na ligi ya England Kwa hapa E. A, na ndio maana mchezaji akisajiliwa kutoka kenya mara ya Kwanza kucheza pale taifa tumbo joto maana umati wa watu elfu 60 wote wanakuangalia sio mchezo ushazoe kucheza kwenye watu elfu 10.Hahhaah halafu sikujua kama wewe ni fala hivyo.. au na hilo jengo la vioo nyuma ya uwanja nalo unatakla kusema ni sehemu ya nyayo stadium? Hii ndio Nyayo.
Halafu huo upupu wa picha ya uwanja na jengo la glass angalia wakunyawenzio wanavyopiga kelele kwa huu utopolo. Umechukua hapa.
Sasa unavyoona sawa na ninyi munaopewa mchele na unga?Mlipewa condom
Mwambie anayewaza ngono maana yake hana njaa.[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa unavyoona sawa na ninyi munaopewa mchele na unga?
Sisi tumejitosheleza kwenye vitu muhimu sio kama wao wanopewa mchele wa vitumbua ndio wanafanya wa wali hatar Sana china na mchele wapi na wapi.mwambie anayewaza ngono maana yake hana njaa.[emoji3][emoji3][emoji3]
Ona kiwanja hikiHahaha!!we acha maneno mwngi bana, mpka bandari pia kamdanda bana[emoji23][emoji23].
Timu za bongo kenya hushinda kw pwnati tu
Club ranking simba ni ya Ngapi Afrika? Gormahia ni ya ngapi?Hahaha!!we acha maneno mwngi bana, mpka bandari pia kamdanda bana[emoji23][emoji23].
Timu za bongo kenya hushinda kw pwnati tu
Kahata yuko comfortable, anajiona kama anachezea ligi kuu ya Uingereza kwasasa.Club ranking simba ni ya Ngapi Afrika? Gormahia ni ya ngapi?
Unajua kabisa mlimfunga simba kombe la mbuzi.....
VPL>>>>>ligi ya Kenya.
Kila kijana huko kwenu anawaza kuja kucheza bongo.
Kahata kaja Simba tunaona maisha yake yapo juu saiv...
Ni juzi tu hapo.....katoka kugawa Lita 10000 za maji....sijui serikali yenu ilikuwa wapi?
Hawa majamaa wanaweza bisha hata ukweli....wao Kenya ni bora kwa kila kitu wakiwa hapa,Kahata yuko comfortable, anajiona kama anachezea ligi kuu ya Uingereza kwasasa.
Hata watanzania wanaokwenda kucheza ligi kuu ya Kenya huwa wanakwenda kwa lengo la kupandisha viwango vyao tu ili wasajiliwe na timu za Tanzania.
Ligi kuu ya Kenya ina hali mbaya mno, kuna timu hazitokei viwanjani hata kama ni timu wenyeji. Unaweza kukuta Goh Mahia inakwenda Mombasa kucheza na Bandari,lakini Bandari isitokee uwanjani kisa ukata na wachezaji kutofanya mazoezi.
Tatizo huwa wanajimwambafai wakifikiri hatuwajui. Wako hovyo sana.Hawa majamaa wanaweza bisha hata ukweli....wao Kenya ni bora kwa kila kitu wakiwa hapa,
Ila wakiwa kibera huko, ukweli wanaujua wenyewe.
Hahahaha nchi ya timu moja, nchi nzima timu gormahia tuKahata yuko comfortable, anajiona kama anachezea ligi kuu ya Uingereza kwasasa.
Hata watanzania wanaokwenda kucheza ligi kuu ya Kenya huwa wanakwenda kwa lengo la kupandisha viwango vyao tu ili wasajiliwe na timu za Tanzania.
Ligi kuu ya Kenya ina hali mbaya mno, kuna timu hazitokei viwanjani hata kama ni timu wenyeji. Unaweza kukuta Goh Mahia inakwenda Mombasa kucheza na Bandari,lakini Bandari isitokee uwanjani kisa ukata na wachezaji kutofanya mazoezi.
Facts hazidanganyi. Can your second city Mwanza compete with Mombasa? [emoji23].Tatizo mnaropokaga sana, alafu zikiwekwa evidence fact mnabaki midomo wazi. Kwa unachokizungumza embu kiprove huwezi
Renders tunaonesha humalizwa kujengwa 90% of the time. Nyinyi na Bagamoyo mlitupigia kelele na hata hakuna kitu [emoji23]. PR tupu tu ndio maana Dar ndio kila kitu Tanzania. Hakuna project ya maana inje ya Dar unlike kenya hata Turukana iko na Miradi.Yn mkioneshaga render af na mnachojenga huwa nabaki kujickia fahari sn kuwa katika nchi ambayo ujenzi unazingatia renders.