Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,660
Ucheke ulie ukweli utabaki kuwa timu za Kenya huwa inatomba timu za Tanzania. Alafu ebu tuonyeshe hivo viwanja vizuri tuvione. Gor mahia will be beat Simba any time any time without any hardship.
Hata ubweke vipi, Tanzania itabaki kuwa na ligi kubwa na bora zaidi ukanda huu, Tanzania ina clubs tajiri zaidi ukanda huu, Tanzania ina viwanja bora zaidi vya mpira ukanda huu. Tanzania ndio iko na ligi ya pesa nyingi na ikiwa na wachezaji proffesional kuliko ligi yoyote ukanda huu. Hata ulie vipi hapa hiyo huwezi kuibadili.