GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
Kwanini mnapoteza mda wenu kubishana na Kenya hao? Wanaongelea viwanja wakati takwimu zinaonyesha njaa karibu iwamalize.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sorry Teargass I can see u r going mad, Tz is a middle income country, no country with double status ever exist in the world.Then leave.
View attachment 1510193
Mjanja km mm cwezi ishi nchi maskini, mm naishi middle Income country ambayo soon tunakwenda kuwa upper middle Income country [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hamna viwanja Tanzania.
Tafuta iliyo updated
Hahhaah halafu sikujua kama wewe ni fala hivyo.. au na hilo jengo la vioo nyuma ya uwanja nalo unatakla kusema ni sehemu ya nyayo stadium? Hii ndio nyayo
View attachment 1510196
Halafu huo upupu wa picha ya uwanja na jengo la glass angalia wakunyawenzio wanavyopiga kelele kwa huu utopolo. Umechukua hapa
Umeishiwa hoja ww unabaki kuruka ruka tu, hakuna nchi ikawa middle Income zen at the same time ikawa poor Country except Kenya ambayo ni middle finger country and at the same time a failed state.Tanzania is among the poorest countries in the world. Kaa ukijua hiyo.
Hahaha!!ukimuona mtanzania analongo sana bila hata kutuonyesha picha, basi ujue anatapata hku akitafuta pa kutokea[emoji23][emoji23]Au kama cha Majaliwa stadium pale Namungo. Jamaa ndio anaona bonge la uwanja kumbe vitu vya kawaida tu huku timu ziko na pesa zinajenga viwanja zenyewe.
Hivi kwanza huko kenya kuna ligi ya maaana kweli? Viwanja vya nini wanajenga na sisikii hata ligi yao ikiwa competitive ukanda huu?
Si bp itapanda?Tafuta yako utuletee.
Tatizo ni pale mnapopatana na timu za kenya, Yani huaga mnakula kichapo[emoji23][emoji23]Ligi yao ndio ligo mbovu zaidi ktk EA halafu wanawezaje kupata kiwanja kama hicho?
Mkuu ni machungu tu hayo, hata usijisumbue kuwaelimisha sana.Mbona msiongee tu ukweli, so you want to compare this with this? [emoji23] [emoji23]
View attachment 1510145View attachment 1510146
Asante kwa kutuonyesha Nyayo stadium ya 1980 hata before ikuwe na viti. That glass part is Nyayo stadium, najua hujazoea glassy things.
IN PICTURES: The new look Nyayo National Stadium, 95pc complete - Capital Sports
Mlipewa condomKweli we mwendawazimu hivi ulishawahi sikia siku moja Tanzania inapewa mchele wa kichina kama Kenya .
Nyuzi zake zote hzo ulizikimbia hku zngine ukaanza kujitoa ufahamu[emoji23][emoji23][emoji23]We bwege kweli ww[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Economy iko wapi hyo economy ambapo karne hii mnapewa msaada wa chakula, mnakufa kwa cholera mpk leo karne ya 21,
Health iko wapi ikiwa mpk leo Wakenya maelfu kwa maelfu wanakuja kutibiwa Tz and FYI hakuna nchi inawezana na Tz ktk modern health facilities narudia tena hakuna
Agriculture huna ardhi ww ya kutunishiana msuli na Tz, dunia nzima inajua kenya ni wakala wa kuuza mazao na co mzalisha mazao, kitu pekee mnalima ni maua ambayo pia % kubwa yanatokea Tz,
Trade, angalau kdg hapo kwenye trade cz nyie ni ma agent lkn hata hyo pia ishafutika cz makampuni mengi yaliyopo kenya yameanza kukimbilia Tz.
Education, [emoji3][emoji3][emoji3] mna elimu gn nyie mafala, elimu ambayo inawafanya mshindwe kuvumbua hata dawa ndogo tu ya corona mmebaki kuomba misaada km wanawake malaya, elimu gn mliyonayo mnashindwa hata kupanga mambo yenu wenyewe mnapangiwa na watu wa nchi zngne, elimu gn mnayo zaidi ya ku copy mambo kutoka Tz?
Infrastructure, huna za kulinganisha na Tz ambazo ni modern na economocally viable zaid zaid tu mnaringia miundombinu aliyowaachia mkoloni but nyie mmeishia kujenga mautopolo na kununua ma second hand.
Hayo mengine cna hata haja ya kuelezea cz yapo wazi.
Better than all your stadiums.
We bwege kweli ww[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]