As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

As Tanzanian Government is waiting for Arabs to build Stadium for them, County Government of Mombasa is building this huge stadium using its own money

Wakenya unajirudisha nyuma sana kiakili na kiupeo kila mara mnapotaka kujilinganisha Tanzania katika mambo ya kimaendeleo.

Kenya na wakenya mpo hatua nyingi sana mbele kimaendeleo kuliko Tanzania (ukiondoa suala la kijamii ambapo sisi watanzania tumewaacha mbali sana).

Ni upumbavu wa kiwango cha juu kwa tai kujilinganisha na kuku au simba kujilinganisha na paka.
 
Au kama cha Majaliwa stadium pale Namungo. Jamaa ndio anaona bonge la uwanja kumbe vitu vya kawaida tu huku timu ziko na pesa zinajenga viwanja zenyewe.

Hivi kwanza huko kenya kuna ligi ya maaana kweli? Viwanja vya nini wanajenga na sisikii hata ligi yao ikiwa competitive ukanda huu?
Ebu tuonenyeshe hivo viwanja mnaongelea kama sio renders.
 
Matunda ya katiba mpya na bora kushinda nyingi Africa. Mtaelewa tu endeleeni kusubiri.
 
Najua umekasirika sana venye umeona kuwa Mombasa county is doing what your government can`t do.
Oneni huyu jameni....what our government built many yrs ago has never been seen by naked eyes in kenya, national stadium. I've visited kasarani, it is too old budah yet it was innovated to where it is a few years ago. Je, hii stadia mpya ambayo ndio most recent stadia overseen by gava ya tz, si ninaona ikuwe tu ka museum wakenya mukuje kutalii😅.
 
Au kama cha Majaliwa stadium pale Namungo. Jamaa ndio anaona bonge la uwanja kumbe vitu vya kawaida tu huku timu ziko na pesa zinajenga viwanja zenyewe.

Hivi kwanza huko kenya kuna ligi ya maaana kweli? Viwanja vya nini wanajenga na sisikii hata ligi yao ikiwa competitive ukanda huu?
Mbona msiongee tu ukweli, so you want to compare this with this? 😂 😂
EF-CojBWwAEiE_8.jpg
1716173_0ce6dad423918b13a0cd8a5bc3f4830c.jpg
 
Back
Top Bottom