Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu sema kwa sauti nkusikie [emoji3][emoji3][emoji3]Unadhani Kenya ni kama Tanzania enye wanapewa misaada kwa kila kitu?
We nawe fala tu hebu taja mambo ambayo wapo mbele ya Tz.Wakenya unajirudisha nyuma sana kiakili na kiupeo kila mara mnapotaka kujilinganisha Tanzania katika mambo ya kimaendeleo.
Kenya na wakenya mpo hatua nyingi sana mbele kimaendeleo kuliko Tanzania (ukiondoa suala la kijamii ambapo sisi watanzania tumewaacha mbali sana).
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kwa tai kujilinganisha na kuku au simba kujilinganisha na paka.
Thnx for renderMbona msiongee tu ukweli, so you want to compare this with this? [emoji23] [emoji23]
View attachment 1510145View attachment 1510146
Ipo mbele ila c Kwa viwanja wala ligi bora kama ulikua hujuiWakenya unajirudisha nyuma sana kiakili na kiupeo kila mara mnapotaka kujilinganisha Tanzania katika mambo ya kimaendeleo.
Kenya na wakenya mpo hatua nyingi sana mbele kimaendeleo kuliko Tanzania (ukiondoa suala la kijamii ambapo sisi watanzania tumewaacha mbali sana).
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kwa tai kujilinganisha na kuku au simba kujilinganisha na paka.
Inachukua watu wangapi vileee, mana kwenye ubora na usasa ni aibu ku compare, tulinganishe idadi tu[emoji3][emoji3]Hata kama ilijengwa1780 bado ni nzuri kuliko hiyo yenu.
EconomyWe nawe fala tu hebu taja mambo ambayo wapo mbele ya Tz.
Uyo mbn kawaida tu wahitaji wapo wengi na wahisani pia ni wengi km nyie mnavyopewa hisani ya chakula, mask na pesa za covid-19 ambazo GoK inajengea barabara [emoji3][emoji3]Nimewaisikia Tanzania wamejengewa choo ya msaada.
Kenyan County governments are more efficient than the central government of most nations. Let`s take an example with Tanzania and Mombasa, the Magufuli government is depending on the Morrocan Government to build Dododma stadium while Mombasa stadium is getting built without even the help of the central government. This shows how devolution has been a game-changer in Kenya. Let`s see what is cooking in county 001.
View attachment 1510149
Jifunze Kiswahili fasaha kwanza! Nyie fanyeni na corruption zenu, sisi tunawahusisha wataalamu na kuwaajiri maana tu matajiri!Najua umekasirika sana venye umeona kuwa Mombasa county is doing what your government can`t do.
Tanzania is a one stadium country. This is Nyayo Stadium.
View attachment 1510167
Then, baki na ujinga wako bye!Where will Kiswahili take me? Or how it help me?
We bwege kweli ww[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Economy
Health
Mombasa port doubles all Tanzanian ports combined
JKIA handles more passengers than all Tanzanian airports combined.
Education
Roads
Trade
Agriculture
Our cities are better than all your cities
Among many more.