AS Vita 2 Simba 1 dakika 90 za ligi ya Makundi CAF

AS Vita 2 Simba 1 dakika 90 za ligi ya Makundi CAF

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Simba wanapata bao la moja kupitia kwa Emmanuel Okwi. Ikiondoka kurudi home kujiandaa na mechi ya marudio. Nmeiona game.ni kali yenye mpira mzuri wa kushambuliana sana.

Mchawi ambaye ametumwa na watu flani kuiharibia simba leo ni shaffi dauda. Ambaye ushindi wa simba wa bao 3 dhid ya Soura umemtesa sana sababu alitaka maneno yake yatimie

Leo pia atakuwepo Congo amepewa dawa na watu wa AS Vita kwa ajili ya kuwakwamisha simba. (Teknolojia ya mtu mweusi) kama hutaki acha. Ila SIMBA MMEMKARIBISHA NYOKA AMBAYE MTAKAPOPOTEZA HII MECHI ATAENDA KUTAMBA INSTA. HUYO HAMKUPASWA KUWA NAYE KARIBU HIVYO.
 
Mechi inachezwa wapi na saa ngapi?
kwa dstv ni SS9, muda kwa saa za afrika mashariki ni saa 1 kamili usiku. Ila bila shaka na zbc2 watarusha pia huu mtanange kwa upande wa azam tv

the Legend☆
 
Game ya leo natamani sana Nyoni awepo, tunahitaji sana nidhamu yake pale nyuma. Juuko na zile tackling zake nna wasiwasi anaeza kula umeme au akasababisha penati

the Legend☆
 
Huwa na washangaa Sana watu wengine has a kuusu mpira

Iwe as vita au simba kila mtu Ana haki ya kushinda au kutoa sare au kufungwa ilo mnajua

Simba wame enda kuchezea mpira na wanatarajia point japo chochote cha weza tokea kwenye mpira Hakuna mtu mwenye salimia Mia za kushinda mpira hadi pale dakika 90zitakapo kwisha

Hampend simba ishinde hii gem Lakin kumbumbuka na simba pia hawataki kufungwa hii gem na wao ndio wanao pambana sio wewe unae ongea tuu

Simba Wana kikos cha ushindani so wame enda kushindana a aatashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wanapata bao la moja kupitia kwa Emmanuel Okwi. Ikiondoka kurudi home kujiandaa na mechi ya marudio. Nmeiona game.ni kali yenye mpira mzuri wa kushambuliana sana.

Mchawi ambaye ametumwa na watu flani kuiharibia simba leo ni shaffi dauda. Ambaye ushindi wa simba wa bao 3 dhid ya Soura umemtesa sana sababu alitaka maneno yake yatimie

Leo pia atakuwepo Congo amepewa dawa na watu wa AS Vita kwa ajili ya kuwakwamisha simba. (Teknolojia ya mtu mweusi) kama hutaki acha. Ila SIMBA MMEMKARIBISHA NYOKA AMBAYE MTAKAPOPOTEZA HII MECHI ATAENDA KUTAMBA INSTA. HUYO HAMKUPASWA KUWA NAYE KARIBU HIVYO.
Mtakufa mwaka huu jazeni maji kweli bwawa lenu iacheni simba yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani ni youtube gani inayoonyesha mpira wa simba na hawa as vita
 
Back
Top Bottom