USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Bila jina la mbunge na jimbo huu utakuwa Uzi wa kiwaki sanaView attachment 3010345
View attachment 3010368
Umasikini mbaya wa kipato(na hata fikra) ukiambatanisha na tamaa ya maisha ya juu, vinaelekea kuwati ibu wabunge wetu wengi.
Ni mara karibia ya nne sasa, magari ya wabunge asio na kipato cha kuwahimili maisha ya juu, magari hayo yamekamatwa na polisi wakisafirisha wahamiaji.
Hili ni janga la umaikini ka hawa wachaguiwa wetu.
Mtu katoka kijijini juzi, leo mbunge kutokana na mdomo wake kufanya kazi overtime, mwis anatamani kuishi kama mawaziri na ananunua Lndcruiser V8.
Landcruiser V8 ina nyonya fweza ndefu si kuinunua tu, bali mtunzo.
Mbunge wetu huyu hawezi.
Mwisho analikodisha au naingia gemu la kusafirisha wahamiaji harmu.
WABUNGE MNATUAIBISHA PTUUU!
Habari ya juzi ni mbunge wa mkoa fulani huko kaskazini, V8 limekamatwa likiwa limesheheni abiria wahamiaji.
USSR