Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Bila jina la mbunge na jimbo huu utakuwa Uzi wa kiwaki sana

USSR
 
Hivi hao wapitanjia kwenda kutafuta Maisha Nchi zingine nyie Watanganyika Ina wakera nini?

Oho wahamiaji haramu!!
Nani kawaambia wanahamia kwenu?
Wanapita tu hao Wahabeshi ninyi mnakereka

Acheni Roho mbaya
Acheni wapite
 
Miiko ya Uongozi-Ujasiliamali wa Siasa-Ufisadi-Ununuzi wa madaraka-Wizi wa kura-Kiu ya Teuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…