hata yeye Asa Mwambene hana Vigezo vya kuwa msemaji wa serikali, wote tunajua uwezo wake na kwamba ni sawa na houseboy wa Membe, amewekwa hapo ili ku protect interest za wauaji Membe na Zoka walioagiza kuuawa kwa Ulimboka. Inashangaza anapata wapi confidence ya ku treat wengine kama wapangaji, nani kamwambia hii nchi ni yake, ndio maana nashauri Mtanzania na Mwananchi wampeleke mahakamani kama Yeye aonyeshi hiyo sheria inayompa mamlaka ya kufanya hivyo, aje hapa atuonyeshe, na vigezo villivyompa ukurugenzi wa Maelezo, tunawajueni wakina Mwambene.
Simtetei kibanda maana na yeye angekua na kigezo asingekubali kufanya kazi na mtu ambaye sio mhariri, aliyefungiwa na chama cha wahariri ambayo ni professional association inayotunza ethics za waandishi ambayo yeye ni Mwenyekiti, ni sawa na NBAA imvue mtu wa CPA halafu Utto ama kaka yangu Maneno afanyenaye kazi ofisi moja, hii ni criminal professionally, sema cha kushangaza ni kwa nini wahariri bado wanamkumbatia Kibanda kama mwenyekiti? wamtoe, ndio maana Kubenea alikataa kushirikia vikao vyao vya kununuliwa na NHC na funds authorities kwa kusema kwamba hawana moral, Kibanda ashughulikiwe na Mwambene pia ashughulikiwe, wote wanatumika, after all hata hayo magazeti ya mtanzania hayana mchango wowote katika jamiil, wafungiwe waandike vyote sawa kwa kuwa wanajiandikia wenyewe na kutumiwa na Lowasa kutafuta urais, sio magazeti ya kuelimisha jamii, sema tunataka Rostam kama kweli ni fisadi, amshughulikie Membe maana kaota mapembe sana kwa kujua mkuu ni dhaifu