mwene original
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 248
- 48
Usipende kumchafua membe anausikaje? Hivi kuandika selikali inanuka damu bila ushahidi ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye hili swala la kufungiwa magazeti nafikiri sio vyema tukiweka siasa mara oooh membe mara oooh lowasa ila ni swala la msingi kukumbusha vyombo vya habari kuwa kuna mamlaka kamili na lazima tueshimu mamlaka sio kuja na maneno eti serikali inanuka damu...mimi naichukua sana hii serikali ya jk ila kwa hili niko nao pamoja uwezi tukana serikali ovyo ovyo watu wanyamaze kimya na ingekuwa mimi ningeifungia maisha mtanzania....all in all ni wajibu wa kila raia kueshimu mamlaka yaliyopo madarakani
Kwenye hili swala la
kufungiwa magazeti nafikiri sio vyema tukiweka siasa mara oooh Membe
mara oooh Lowasa ila ni swala la msingi kukumbusha vyombo vya habari
kuwa kuna mamlaka kamili na lazima tueshimu mamlaka sio kuja na maneno
eti Serikali inanuka Damu...mimi naichukua sana hii serikali ya JK Ila
kwa hili niko nao pamoja uwezi tukana serikali ovyo ovyo watu wanyamaze
kimya na ingekuwa mimi ningeifungia maisha Mtanzania....all in all ni
wajibu wa kila raia kueshimu mamlaka yaliyopo madarakani
kipi cha ajabu katika serikali kunuka damu? yaani huipendi serikali af hutaki ikosolewe hata penye ukweli! unachekeshaKwenye hili swala la
kufungiwa magazeti nafikiri sio vyema tukiweka siasa mara oooh Membe
mara oooh Lowasa ila ni swala la msingi kukumbusha vyombo vya habari
kuwa kuna mamlaka kamili na lazima tueshimu mamlaka sio kuja na maneno
eti Serikali inanuka Damu...mimi naichukua sana hii serikali ya JK Ila
kwa hili niko nao pamoja uwezi tukana serikali ovyo ovyo watu wanyamaze
kimya na ingekuwa mimi ningeifungia maisha Mtanzania....all in all ni
wajibu wa kila raia kueshimu mamlaka yaliyopo madarakani
BA General ndio sifa ya uhariri?Kibanda ana BA General UDSM
Hiyo ndio tofauti sasa, zingekuaje zimeendelea na sisi hatujaendelea kama tungefanya mambo yanayofanana.Kweli nchi masikini bado tunahitaji nguvu ya aina yake kujikomboa,watu wanatambishiana elimu na nafasi kama ndo maisha baada ya kufa. life expecnacy yetu ni ndogo, lakini ndo maringo na majivuno kama vile mfalme Nero.Mbona kwenye nchi zilizoendelea mpaka rangi na waziri wanakaa meza moja, wanakula restaurant moja, wantemeblea gari aina moja, nyumba hadi zinafanana,shule za watoto ni moja, wanaitanaka majina "Paul"na sio "Mkuu", Mh, "Sir" "Prof" "Dr".
Hapa suala la kujadili ni manufaa mapana zaidi ya Mwananchi na Mtanzania kamavyombo vya habari kwa Watanzania na wasomaji kea ujumla, sasa hizi issues za CVs, Positions zinanafasi kweli kwenye hili jamani? Yangy ni hayo tu..................
hata yeye Asa Mwambene hana Vigezo vya kuwa msemaji wa serikali, wote tunajua uwezo wake na kwamba ni sawa na houseboy wa Membe, amewekwa hapo ili ku protect interest za wauaji Membe na Zoka walioagiza kuuawa kwa Ulimboka. Inashangaza anapata wapi confidence ya ku treat wengine kama wapangaji, nani kamwambia hii nchi ni yake, ndio maana nashauri Mtanzania na Mwananchi wampeleke mahakamani kama Yeye aonyeshi hiyo sheria inayompa mamlaka ya kufanya hivyo, aje hapa atuonyeshe, na vigezo villivyompa ukurugenzi wa Maelezo, tunawajueni wakina Mwambene.
Simtetei kibanda maana na yeye angekua na kigezo asingekubali kufanya kazi na mtu ambaye sio mhariri, aliyefungiwa na chama cha wahariri ambayo ni professional association inayotunza ethics za waandishi ambayo yeye ni Mwenyekiti, ni sawa na NBAA imvue mtu wa CPA halafu Utto ama kaka yangu Maneno afanyenaye kazi ofisi moja, hii ni criminal professionally, sema cha kushangaza ni kwa nini wahariri bado wanamkumbatia Kibanda kama mwenyekiti? wamtoe, ndio maana Kubenea alikataa kushirikia vikao vyao vya kununuliwa na NHC na funds authorities kwa kusema kwamba hawana moral, Kibanda ashughulikiwe na Mwambene pia ashughulikiwe, wote wanatumika, after all hata hayo magazeti ya mtanzania hayana mchango wowote katika jamiil, wafungiwe waandike vyote sawa kwa kuwa wanajiandikia wenyewe na kutumiwa na Lowasa kutafuta urais, sio magazeti ya kuelimisha jamii, sema tunataka Rostam kama kweli ni fisadi, amshughulikie Membe maana kaota mapembe sana kwa kujua mkuu ni dhaifu
Mwenye kujua CV za Mwambene na Kibanda zishushwe hapa ili tufanye comparative analysis; vinginevyo hata Mwambene hana sifa ya kuwa katika nafasi aliyo nayo; kama anabisha; come clean Mwambene, shusha CV yako hapa tukate mzizi wa fitina.