Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sasa kama Kabwela wewe unavizia kulamba asali wenzio tunatengeneza asali😂Wanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali.
Makabwela tujitafakari sana.
View attachment 2265339
Wewe ni zaidi ya zumbukuku tu na unaonekana ni kati ya watu wasiyoipendea Tanzania amani.Wanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali.
Makabwela tujitafakari sana.
View attachment 2265339
Huyo jamaa ni kati a watu waliokuwa wanaumiza watu na kushiriki kuwapoteza kabisa kipindi cha Jiwe maana inamuuma sana kuona Tanzania sasa inatawaliwa kwenye utulivu wa kisiasa.Sasa kama Kabwela wewe unavizia kulamba asali wenzio tunatengeneza asali[emoji23]
StupidWanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali.
Makabwela tujitafakari sana.
View attachment 2265339
Hii ndio defence ya kutetea kulamba asali?Wewe ni wale waliokuwa wanafurahia utawala wa kuumizana, chuki na kupotezana, siasa siyo uadui kama alivyokuwa anafanya jamaa fulani na ninyi kufurahia na kuunga mkono ujinga!!
Acha kujitoa fahamuTaja Kwa mifano halisi asali ipi,yenye thamani gani akiyolamba Mbowe.Vinginevyo wewe ni mjinga tu.
Ccm ni mafiiWanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali.
Makabwela tujitafakari sana.
View attachment 2265339
Ccm ni mafiiiWewe ni zaidi ya zumbukuku tu na unaonekana ni kati ya watu wasiyoipendea Tanzania amani.
Nina imani wewe ni Mnyarwanda au Mrundi au ni mwanachama wa Is.