Asali analamba Mbowe na Mabwanyenye wa CCM, sisi makabwela tunabaki tunaungua jua. Tujitafari sana makabwela

Asali analamba Mbowe na Mabwanyenye wa CCM, sisi makabwela tunabaki tunaungua jua. Tujitafari sana makabwela

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Wanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali.

Makabwela tujitafakari sana.
image_search_1655535199665.jpg
 
Wanasiasa sio watu wema. Wanajaza matumbo yao. Hawashibi? Wanakula michango yetu. Wanakula kodi zetu. Leo hii Mbowe na Mabwanyenye wa CCM lao ni mpango mmoja tu kulamba asali.

Makabwela tujitafakari sana.
View attachment 2265339
Wewe ni zaidi ya zumbukuku tu na unaonekana ni kati ya watu wasiyoipendea Tanzania amani.

Nina imani wewe ni Mnyarwanda au Mrundi au ni mwanachama wa Is.
 
Sasa kama Kabwela wewe unavizia kulamba asali wenzio tunatengeneza asali[emoji23]
Huyo jamaa ni kati a watu waliokuwa wanaumiza watu na kushiriki kuwapoteza kabisa kipindi cha Jiwe maana inamuuma sana kuona Tanzania sasa inatawaliwa kwenye utulivu wa kisiasa.
 
Hizo ndio Siasa,wewe umemsikia Mbowe akitia neno kuhusu ngorongoro?!!yupo amekula kobis,anakula mema ya nchi
 
Wewe ni wale waliokuwa wanafurahia utawala wa kuumizana, chuki na kupotezana, siasa siyo uadui kama alivyokuwa anafanya jamaa fulani na ninyi kufurahia na kuunga mkono ujinga!!
 
Taja Kwa mifano halisi asali ipi,yenye thamani gani akiyolamba Mbowe.Vinginevyo wewe ni mjinga tu.
 
Wewe ni zaidi ya zumbukuku tu na unaonekana ni kati ya watu wasiyoipendea Tanzania amani.

Nina imani wewe ni Mnyarwanda au Mrundi au ni mwanachama wa Is.
Ccm ni mafiii
 
Back
Top Bottom