Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

Mi ninayo yangu ya juici ya tangawizi dozi ya week moja tu unakua na uwezo wa kupiga goli sita na zaidi0712505049 nicheki hapo
 
Nina mashaka hata kuwa na nyumba ndogo au wanawake wengi kunachangia haya matatizo ya nguvu za kiume.Wanawake wa kizazi hiki wanapenda sna kugegedana kiasi kwamba inakuwa shida kuwahudumia wote kwa 100%.Hutaki sepa kiroho safi!
 
Mi ninayo yangu ya juici ya tangawizi dozi ya week moja tu unakua na uwezo wa kupiga goli sita na zaidi0712505049 nicheki hapo

Mwaga elimu bure hapa kama wenzako;au upo kibiashara zaidi?
 
wagonjwa mko wengi humu...

Siku moja nmewahi sema, tatizo la nguvu za kiume linaweza kuwepo au lisiwepo. Kuwepo kwake kunaweza kusababishwa na
1. Kuzaliwa na tatizo - hili kuna uwezekano mdogo wa kupona
2. Maradhi - kuna magonjwa yanayosababisha tatizo hili, bt linatibika hospital
3. Hormones - kupungua kwa homones za kiume zinaweza pelekea tatizo hilo. Pia linatibika hospital
4. Kulogwa - hz ni imani za kishirikina zinazoweza kutokana na wivu wa kimapenz n.k. Ila kupona hapa ni hati hati.
Matatizo ya hapo juu hata unywe supu ya pweza pipa zma haita saidia, na kuna wengine haisimami kabisaaa.
Na ninaposema nguvu za kiume hazipo maana yake, watu wamekosa mihemko ya kutosha kimapenzi kutokana
1. Kukosa Mazoezi - mazoezi yanafanya mwili uwe active na mzunguko mzr wa damu hvyo mwili unarespond haraka.
2. Uvivu - mwanaume anapaswa kuchukulia tendo la ndoa na mkewe ni moja kati ya majukumu aliyonayo na co starehe tu.
3.Lishe duni - Kila chalula kina kaz yake mwilini, mf. Uhimarishaji wa nywele, mifupa, ngozi, kuona vizuri, kumbu kumbu, afya ya uzazi, vipo hadi vyakula vinasaidia hata thinking capacity ya mtu. Sasa watu tunakula hovyo, hatujui tunachokula hilo ndo tatizo, so hivyo alivovitaja jamaa hapo km asali, samli, tangawizi, vitunguu saumu, sea foods, karanga, nazi na vingine vingi, vinapaswa kuwa sehemu ya milo yetu. Hivyo hata km mtatumia hzo dawa ni nzr sana, lkn tujijengee tabia ya kula vyakula vinavyo jenga afya ya uzazi kwani cc ni watu wazima, tusisubiri had afya izingue ndo tujazane kwenye pweza na samli.
 
Iv ile samli ulianzaje kuinywa maana sio mchezo.. Kwanza ni samli ile mbichi iliyo kama blueband au ni mafuta ya samli yaliopikwa?
 
Hata asali na kitunguu saumu pia , ukichanganya na majimoto. Lakini hakikisha asali ni halisi
mkuu mm nimeweza cchukua asali ya nyuki wadogo, samli, na vitungu swaumu vilivyosagwa, ndo nataka kuuliza nayo inafaa?
 
Back
Top Bottom