Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

Jameni hii kitu kuna mwingine kajaribisha? Leteni ushuhuda zaidi ili sasa na sisi tuanze rasmi...
 
Habari wana jamvi!

Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.

Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa mkoja ni mkubwa na si asubuhi tu hata mchana,alfajiri jogoo anasimama mpaka mishipa inauma,tena inapanda juu kama pembe la kifaru,alafu mwili wangu ulikuwa nikipataga uchovu mwilini nao siusikii na na sina usingizi wa hovyo kama hapo nyuma,asubuhi naamka na nguvu tofauti na zamani.

Namshuku ndugu yetu Julius Mahenya.

Wana JF mnao ni PM kwa kutaka mrejesho ili nanyi muweze kutumia nawatoa wasiwasi tumieni, najua wengi wametumia nao watotoa ushuhuda na pongezi kwa ndugu Mahinya.

kaka naomba hiyo link ya hiyo doze fasta.........pleaseeee
 
Ngoja niende kariakoo maana kuna kabinti kamekula sana hela zangu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hahahahag keimamae.... Yani nguvu za kiume zimekuwa janga namna hii????
 
Jamani kuna mtu kauliza hii juice ya kitunguu, inakuwaje
 
mpango mzima ni ile dawa inaitwa LIFE. inatangazwa star tv na jamaa anaitwa dr buberwa. ile ni kiboko, uchovu wote kwisha na unakuwa active masaa yote. kisukari, pressure, vidonda vya tumbo utavisikia kwenye bomba tu. nimeitumia na imezaa matunda..
 
tutaipataje tusaidie contact
 
Mkuu sio mimi ila ni mwana JF mwenzetu ndio alitupa hii dawa formula yake ni juice ya kitunguu maji kijiko kimoja + samli kijiko kimoja + asali mbichi kijiko kimoja unachanganya alafu unakunywa kutwa mara mbili mkuu,tena mkuu hata matatizo ya kupata choo kwa sasa sina.

Haiwezekani kututafuna kituunguu maji, kunywa kijiko cha samli na kunywa asali tu bila kutengeneza juice ya kitunguu?
 
mpango mzima ni ile dawa inaitwa LIFE. inatangazwa star tv na jamaa anaitwa dr buberwa. ile ni kiboko, uchovu wote kwisha na unakuwa active masaa yote. kisukari, pressure, vidonda vya tumbo utavisikia kwenye bomba tu. nimeitumia na imezaa matunda..

Mkuu hebu funguka zaidi, hii dawa inachanganywa miti shamba au inakuja ishatengenezwa??
 
Inasaidia u.u.m.e kusimama kila unapomaliza kugegeda au inakufanya usikie hamu ya tendo kila wakati?Maana hvy ni vitu viwili tofauti.
 
Ndo maana siku hizi ndoa zetu ni za muda, poa ntaitafuta hiyo dawa.
 
wakuu mimi baada ya hii post kuja kwa mara ya kwanza nilijaribu hii dawa lakini sikuonw mabadiliko yoyote
 
Mkuu hebu funguka zaidi, hii dawa inachanganywa miti shamba au inakuja ishatengenezwa??
inatengenezwa kwa miti shamba, ishatengenezwa we unatumia tu kwa dozi utakayoelekezwa, yupo pale ubungo plaza piga 0753-185543
 
Back
Top Bottom