Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

Mimi sijui nilizidisha dozi! Hivi ninavyoongea mama Tulalumba ameondoka ameenda kuwasalimia wakwe ila nahisi ni kwa ajili ya muziki aliopata siku mbili mfululizo hadi akaomba poo kwa sababu nilikuwa nasimia hadi kucha.

Wewe! Msitumie nguvu zenu mnazo pata kwa tiba hizi, kuwakomoa wenzi wenu! Kwanza mnajidhuru tena, pasi kujua.
 
Mkuu sio mimi ila ni mwana JF mwenzetu ndio alitupa hii dawa formula yake ni juice ya kitunguu maji kijiko kimoja + samli kijiko kimoja + asali mbichi kijiko kimoja unachanganya alafu unakunywa kutwa mara mbili mkuu,tena mkuu hata matatizo ya kupata choo kwa sasa sina.

Unatumia kwa Muda gani?
 
Habari wana jamvi!

Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.

Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa mkoja ni mkubwa na si asubuhi tu hata mchana,alfajiri jogoo anasimama mpaka mishipa inauma,tena inapanda juu kama pembe la kifaru,alafu mwili wangu ulikuwa nikipataga uchovu mwilini nao siusikii na na sina usingizi wa hovyo kama hapo nyuma,asubuhi naamka na nguvu tofauti na zamani.

Namshuku ndugu yetu Julius Mahenya.

Wana JF mnao ni PM kwa kutaka mrejesho ili nanyi muweze kutumia nawatoa wasiwasi tumieni, najua wengi wametumia nao watotoa ushuhuda na pongezi kwa ndugu Mahinya.
Nashukuru kwa mrejesho wako, vijana mlio na tatizo hilo tumieni mtafanikiwa na pengine ukiwa natatizo zaidi ya hilo ntakusaidia pia mjue babu na bibi zetu ni hadhina wanapo washauri muwasikilize kwa makini huwezi amini dawa hii alinipa bibi yangu! hata hivyo uwezo wa nguvu za kiume ni jambo muhimu sana kuweni makini kuzilinda!
Napokea shukrani zenu wote mnao ni pm mwaweza mp pia huyu jamaa kwa maelezo zaidi maana mko wengi sana na pengine hua niko busy kiasi kwamba siwajibu kwa wakati but nawashukuru sana kwa imani yenu juu ya hii dawa!
 
hahahahaha!!!!!
nimecheka sana, japo sio kwa ubaya.....lol,
kumbe wanaume tuna shida eh!!!! asali vurunguu maji samli, vitakuwa adimu sana....
 
Mkuu sio mimi ila ni mwana JF mwenzetu ndio alitupa hii dawa formula yake ni juice ya kitunguu maji kijiko kimoja + samli kijiko kimoja + asali mbichi kijiko kimoja unachanganya alafu unakunywa kutwa mara mbili mkuu,tena mkuu hata matatizo ya kupata choo kwa sasa sina.

Unatumia kwa Muda gani?

Siku 7 (kutwa mara mbili) unatengeneza asubuhi na jioni mkuu.
 
Habari wana jamvi!

Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.

Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa mkoja ni mkubwa na si asubuhi tu hata mchana,alfajiri jogoo anasimama mpaka mishipa inauma,tena inapanda juu kama pembe la kifaru,alafu mwili wangu ulikuwa nikipataga uchovu mwilini nao siusikii na na sina usingizi wa hovyo kama hapo nyuma,asubuhi naamka na nguvu tofauti na zamani.

Namshuku ndugu yetu Julius Mahenya.

Wana JF mnao ni PM kwa kutaka mrejesho ili nanyi muweze kutumia nawatoa wasiwasi tumieni, najua wengi wametumia nao watotoa ushuhuda na pongezi kwa ndugu Mahinya.

Kaka samahan naomba maelezo ya samli ni ya aina gan hyo??
 
Siku 7 (kutwa mara mbili) unatengeneza asubuhi na jioni mkuu.

Ngoja nijaribu huenda ikarejesha heshima ya mahusiano yangu
 
Bila dawa mama Ngina anaomba poo nikiongeza na dawa je?
 
Je iyo Samli inapatikanwa mazingira gani?

Na katika makala ya nyuma nakumbuka mlitaja kuhusu maziwa ya ng'ombe wa kienyeji kazi yake ayo iko wapi.
 
it works wonderful !!!!!!

try
1 spoon of onion juice
1 spoon of Ghee (purified butter) ( samli)
1 spoon Honey (asali )
lick it daily and see the result in 3-7 days
 
Bila dawa mama Ngina anaomba poo nikiongeza na dawa je?

Mwenyezi mungu kaweka mbele ya mwanadamu, Moto na Maji.. Uzima na Mauti.. Rekebisha kauli zako, uwe na hofu ya mungu.. Unaijua jana yako tu, lakini Leo yako na kesho yako huijui., ipo mikononi mwa muumba..
 
yamkini hujui huu msamiati unavyo tumika mama Ngina ni "mke wa ndoa" jee! Mungu amekataa kumgegeda mke wa ndoa? usikurupuke kulaani kwanza ungekuwa unasoma vitabu vya Mungu usinge hukumu sababu vina kataa mwanadamu kumhukumu mwenzie!!!!!.
 
Hapo kwenye fomula mkuu hebu tujuze, inamaana unatengeneza nyingi halafu unakuwa unakunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni , au unatengeneza kila unapotaka kunywa tuu?
 
Daah hii thread wachangiaji wamepotea ghafla au ndo mko field kutafuta samli? Msisahau mrejesho siku saba zinaisha tangu Qualifier alipopost mara ya mwisho
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hebu tujuze kidogo, Inamaana unatengeneza nyingi halafu unakuwa unakunywa kijiko kimoja asubuhi na jioni au unakuwa unatengeneza kila unapotaka kunywa yaani asubuhi unasaga hiyo juice kijiko kimoja na jioni? au inakuwaje mkuu
 
Swali langu ni moja tu hii juice ya kitunguu unaitengenezaje unasaga kwa blender ukiwa umemix na maji au unafanyaje? Na je unapaswa kuitengeneza kila unapoihitaji kuitumia ama unaweza kutengeneza nyingi ukahifadhi na swali la mwisho ni vitunguu vingapi vinatakuwa kutoa juice kiasi cha kijiko kimoja?
Natanguliza shukran zangu za dhati.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom