Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana jamvi!
Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.
Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa mkoja ni mkubwa na si asubuhi tu hata mchana,alfajiri jogoo anasimama mpaka mishipa inauma,tena inapanda juu kama pembe la kifaru,alafu mwili wangu ulikuwa nikipataga uchovu mwilini nao siusikii na na sina usingizi wa hovyo kama hapo nyuma,asubuhi naamka na nguvu tofauti na zamani.
Namshuku ndugu yetu Julius Mahenya.
Wana JF mnao ni PM kwa kutaka mrejesho ili nanyi muweze kutumia nawatoa wasiwasi tumieni, najua wengi wametumia nao watotoa ushuhuda na pongezi kwa ndugu Mahinya.
Ngoja niende kariakoo maana kuna kabinti kamekula sana hela zangu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mpango mzima ni ile dawa inaitwa LIFE. inatangazwa star tv na jamaa anaitwa dr buberwa. ile ni kiboko, uchovu wote kwisha na unakuwa active masaa yote. kisukari, pressure, vidonda vya tumbo utavisikia kwenye bomba tu. nimeitumia na imezaa matunda..
Mkuu sio mimi ila ni mwana JF mwenzetu ndio alitupa hii dawa formula yake ni juice ya kitunguu maji kijiko kimoja + samli kijiko kimoja + asali mbichi kijiko kimoja unachanganya alafu unakunywa kutwa mara mbili mkuu,tena mkuu hata matatizo ya kupata choo kwa sasa sina.
mpango mzima ni ile dawa inaitwa LIFE. inatangazwa star tv na jamaa anaitwa dr buberwa. ile ni kiboko, uchovu wote kwisha na unakuwa active masaa yote. kisukari, pressure, vidonda vya tumbo utavisikia kwenye bomba tu. nimeitumia na imezaa matunda..
Yaelekea tatizo hili ni kubwa sana kwa members wa JF ......Ndoa ziko salama kweli?jaman na mimi nitapata wapi hiyo samli ya ng'ombe? Msaada wakuu!
wakuu mimi baada ya hii post kuja kwa mara ya kwanza nilijaribu hii dawa lakini sikuonw mabadiliko yoyote
Ooooh kumbe huwezi mzigo eeeh
mzigo nauweza mpaka mama nanii huwa anaomba po
inatengenezwa kwa miti shamba, ishatengenezwa we unatumia tu kwa dozi utakayoelekezwa, yupo pale ubungo plaza piga 0753-185543Mkuu hebu funguka zaidi, hii dawa inachanganywa miti shamba au inakuja ishatengenezwa??