Asalitiwa baada ya kumpa mama mkwe figo

Asalitiwa baada ya kumpa mama mkwe figo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mwalimu Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa uchungu baada ya kuchangia figo kwa mama wa mpenzi wake na kuishia kusalitiwa baada ya mpenzi wake kuolewa na mwanaume mwingine baada ya mwezi mmoja tangu atoe figo.

My Take
Mwanamke sio wa kuonea huruma. Hana ndugu wa kumpa figo mpaka ujitie kimbelembele?
 
Mwanamke ni katili sana. sio wa kuonea huruma. Siku hizi mwanamke akianza kunielezea matatizo ya mumewe namwitikia tu,hata pole simpi.
Nakuunga mkono sheikh wangu.
Na hayo matatizo anayoyaeleza ya mumewe huwa 90% ni ya uongo ili umuonee huruma.

Hata kama ni dada au mama yako akianza kukueleza kuhusu mume wake sijui hili sijui lile ujue hapo kwa 90% ni uongo kwa hiyo usiwahi kukurupuka kuanzisha shari kwa muhusika.

Wanapenda kupata public simpathy
 
Ana utindio wa ubongo huyo hayo si mapenzi ni upumbavu alioufanya
 
Mwalimu Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa uchungu baada ya kuchangia figo kwa mama wa mpenzi wake na kuishia kusalitiwa baada ya mpenzi wake kuolewa na mwanaume mwingine baada ya mwezi mmoja tangu atoe figo.

My Take
Mwanamke sio wa kuonea huruma. Hana ndugu wa kumpa figo mpaka ujitie kimbelembele?
Amchukue na kumnyandua huyo mama mkwe, wote wana figo moja!
 
Back
Top Bottom