Asalitiwa baada ya kumpa mama mkwe figo

Asalitiwa baada ya kumpa mama mkwe figo

Remy Ongala - Wema kum*ny*ko
IMG_20220123_120411.jpg
 
Kutoa figo kwa mkwe mtarajiwa kama mojawapo ya hongo apewazo mchumba ilikuwa sio sahihi.


Hata hivi dhana nzima ya kutoa figo kwa yeyote yule, na kujipa ulemavu, inafikirisha sana. Ni namna ya kujiua kwa kiwango fulani.
 
Mwalimu Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa uchungu baada ya kuchangia figo kwa mama wa mpenzi wake na kuishia kusalitiwa baada ya mpenzi wake kuolewa na mwanaume mwingine baada ya mwezi mmoja tangu atoe figo.

My Take
Mwanamke sio wa kuonea huruma. Hana ndugu wa kumpa figo mpaka ujitie kimbelembele?
Figo kampa mkwe..ni mahaba tuuu.. Wengi huwa tunawekeza kwa ndugu na wazazi wa mke tukidhani ndio tutapendwa zaidi.. Kama hupeleki moto wa kutosha hata utoe kichwa chako utaachwa tuu
 
Back
Top Bottom