Asalitiwa baada ya kumpa mama mkwe figo

Asalitiwa baada ya kumpa mama mkwe figo

Figo kampa mkwe..ni mahaba tuuu.. Wengi huwa tunawekeza kwa ndugu na wazazi wa mke tukidhani ndio tutapendwa zaidi.. Kama hupeleki moto wa kutosha hata utoe kichwa chako utaachwa tuu
Alikua hajui kwamba ukijipendekeza zana ukweni wanakuona fala
 
Mwalimu Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa uchungu baada ya kuchangia figo kwa mama wa mpenzi wake na kuishia kusalitiwa baada ya mpenzi wake kuolewa na mwanaume mwingine baada ya mwezi mmoja tangu atoe figo.

My Take
Mwanamke sio wa kuonea huruma. Hana ndugu wa kumpa figo mpaka ujitie kimbelembele?
[emoji16][emoji16][emoji16] sindio hapo Kuna mijitu mingine mijinga
 
Daah grade kweli zinatofautiana yaani kufikia mpaka level ya kuonga figo.. kuna watu wanaweza nyie shikamoo nyingi sana kwa huyo mwamba na wala asijali kwa usaliti huo hakika aliutegemea
Kuna taofauti kubwa baina ya kupenda n ujinga
 
Hii Bado ni ya moto moto kutoka jikoni .

Mtu licha ya kutoa Figo amepigwa chini Sasa wewe unasomesha eti unalamika 😁😁😁🤣
Screenshot_20230222-152134.jpg
 
Mwalimu Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa uchungu baada ya kuchangia figo kwa mama wa mpenzi wake na kuishia kusalitiwa baada ya mpenzi wake kuolewa na mwanaume mwingine baada ya mwezi mmoja tangu atoe figo.

My Take
Mwanamke sio wa kuonea huruma. Hana ndugu wa kumpa figo mpaka ujitie kimbelembele?
Hata huyu ninayeishi sijawahi kumwamini ila kwasababu ya kimaisha na utelezi sina namna .
 
Kuna baadhi ya wanawake wanaaribia wenzao sna
 
Back
Top Bottom