OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hata dada zako na mama yako ?Wanawake so kitu Cha kukionea huruma hata kidogo
Yes. Just waheshimu tu. But usiwape nafasi ya kukufanyia maamuzi hua si wazur sana kwenue hilo
Ni wazuri kwenye eneo lipi boss ?Yes. Just waheshimu tu. But usiwape nafasi ya kukufanyia maamuzi hua si wazur sana kwenue hilo
Mwanamke ni katili sana. sio wa kuonea huruma. Siku hizi mwanamke akianza kunielezea matatizo ya mumewe namwitikia tu,hata pole simpi.Na hapo mama kabariki kabisa mwanae aolewe na buzi jipya😂
Na hapo mama kabariki kabisa mwanae aolewe na buzi jipya[emoji23]
Nakuunga mkono sheikh wangu.Mwanamke ni katili sana. sio wa kuonea huruma. Siku hizi mwanamke akianza kunielezea matatizo ya mumewe namwitikia tu,hata pole simpi.
Ladership na maamuzi muhimu
Amchukue na kumnyandua huyo mama mkwe, wote wana figo moja!Mwalimu Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa uchungu baada ya kuchangia figo kwa mama wa mpenzi wake na kuishia kusalitiwa baada ya mpenzi wake kuolewa na mwanaume mwingine baada ya mwezi mmoja tangu atoe figo.
My Take
Mwanamke sio wa kuonea huruma. Hana ndugu wa kumpa figo mpaka ujitie kimbelembele?