Asalitiwa baada ya kumpa mama mkwe figo

Kutoa figo kwa mkwe mtarajiwa kama mojawapo ya hongo apewazo mchumba ilikuwa sio sahihi.


Hata hivi dhana nzima ya kutoa figo kwa yeyote yule, na kujipa ulemavu, inafikirisha sana. Ni namna ya kujiua kwa kiwango fulani.
 
Figo kampa mkwe..ni mahaba tuuu.. Wengi huwa tunawekeza kwa ndugu na wazazi wa mke tukidhani ndio tutapendwa zaidi.. Kama hupeleki moto wa kutosha hata utoe kichwa chako utaachwa tuu
 
Pole yake sana na ni kawiada sana..

Tenda wema uende zako...
 
Pole yake, na pia n funzo kwa wengne........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…