Asante Bwana Yesu, angalau hili la kuuza bandari hata wajinga wa Tanganyika wamelielewa

Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
Sasa kama Bandari imeuzwa na pesa zikaongezeka Kuna shida gani? Uzaaa
 
Kabla ya hili nilikuwa sijui kama watu wa upinde mna udini mkali kupita maelezo......nimeshangaa sana! Au hofu yenu ni kuwa dildos hazitopita tena bandarini akiwa mwarabu?!!!!


Hopefully, Mungu ataendelea kumbariki mama yetu.
Unadhani ukiandika udini ndio utanifunga mdomo, hopeless kabisa, Samia msaliti ni shetani, na hizo dildos kazinunue uzile kabisa kama unazipenda.
 
Tunafahamu ni chuki tu zinawasumbuwa, chuki za "kwanini iwe Waislam?" "kwanini iwe Waarabu?"

Hakuna zaidi ya hicho, hakuna bandari wala gati iliyouzwa, nsijidanganye wala kudanganya wengine.
mmeshindwa kusisimamia bandari je nchi
 
Unadhani ukiandika udini ndio utanifunga mdomo, hopeless kabisa, Samia msaliti ni shetani, na hizo dildos kazinunue uzile kabisa kama unazipenda.
Mbona we ndo ulikuwa wa kwanza kuonyesha udini, mi nimekusihi tu uache na sina jingine. Nikunyamazishe nakulipia mimi bando ndugu?!!!!!
 
Mbona we ndo ulikuwa wa kwanza kuonyesha udini, mi nimekusihi tu uache na sina jingine. Nikunyamazishe nakulipia mimi bando ndugu?!!!!!
Huo udini kama unauona kwa darubini endelea kuutazama uniambie una rangi gani.
 

Rekebisha mkataba. I don't support mkataba mbaya ila kuogopa uwekezaji ni ujinga.
 
NANI ataipitia kwa kina? Kwanini iwe Wazi? Hakuna mambo hayo hii ni Tanzania

Kwahiyo nchi nzima haina wanasheria wakupitia mikataba? Kwani mikataba mingine kama ya SGR, Nyerere power nk nani anapitia? Kama hamuwezi kupitia mikataba hapo ujinga ni wenu sio muwekezaji.
 

Rekebisha mkataba it's easy and simple. Mkataba ni makubaliano ila kuogopa uwekezaji ni ujinga.
 
Nakupata mkuu, ila mabepari ni majanja majanja. Watafaidika wao, sisi patupu, ndio hofu yetu.


JESUS IS LORD

Nchi nzima haina wanasheria wa kupitia mikataba? Mikataba mingine nani huwa wanapitia?

Kama mnaogopa kusign mikataba kwa kuogopwa kupigwa ina maana mnazalisha watu incompetent na hapo ujinga ni wenu sio wawekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…