Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nalishasema hapa ujumbe kutoka kwa aliye mkuu Mungu anaratibu anguko la CCM...Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
Wana masikio hawasikii
Wana macho hawaoni
Wana akili hawafikirii