Uchaguzi 2020 Asante DED kutufumbua macho: Alichofanya DED wa Ubungo Beatrice Rest Dominic ndicho kitakachofanyika wakati wa uchaguzi Mkuu

Duniahadaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
336
Reaction score
677
Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha Ndalandefu. Kwa hiyo John Mnyika anakosa fursa ya kugombea.

Maoni yangu: Huyo DED aburuzwe mahakamani, adaiwe pesa ndefu ashindwe kulipa afungwe il iwe funzo la kudumu.
 
Mahakama zenyewe ziko za kutoa hukumu?
 
Nani kakwambia mahakama ni muhimili unaojitegemea kwa nchi hii ya Tanzania?? Labda uingereza na sio hapa.
 
Unazungumzia Mahakama zipi Mkuu?
 
Kwani huyo DED ametambulishwa Viongozi wa Chadema au nyege zako za mchana. Yule Jamaa aliandika barua kweli kwa cc wanazengo, ila baada ya Meya kuomba msaha wametengeneza movie Mpya ya kumruka Mkurugenzi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Kwa kweli Chadema wamechoka kwelikweli
 
Mahakama gani itamfunga? Bunge lenyewe umesikia jana mzee kasema ameliagiza lisimpe mtu posho kwani hjaifanyia kazi.
 
Nani aliyemruka mkurugenzi? Kwani yeye mkurugenzi hawajui viongozi wa Chadema akina Mnyika, Mbowe, n.k?
 
Hayo ndiyo MECCO kajifungia huko anapanga mikakati
 
Ccm hawajawahi kuchoka kufanya uchafu.....ila Mungu anawaumbua taratibuuu...
 
Hebu fikiria unakufa leo kwa corona alafu dawa inapatikana kesho

Kwa ghadhabu unaweza kujinyonga
 
Kwamba hata chama kikikata rufaa kuwa huyo anaesemwa siye bado watapindisha haki?
 
We kweli lipapai la chattle ujinga gani huu
 
Huo Ni mpango, kinachoshangaza wenye chama wanasema hawajamfukuza MTU wao, mkurugenzi analazimisha I we kafukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…