Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
HahaaaaaaDakikaaa za Jioniii kabisa
Nilimpakia abiria alkua kaagiza chips kavu
nkaona kainamia simu alaf kabadili order Lete Chipsi kidarii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaaaDakikaaa za Jioniii kabisa
Nilimpakia abiria alkua kaagiza chips kavu
nkaona kainamia simu alaf kabadili order Lete Chipsi kidarii
Inasikitisha, inatakiwa watumishi wapambane wawe na vyanzo vingine japo vidogo vya mapato. Kile cha kuanzia majuzi na jana ni aibu sana kwetu watumishinwa umma.Ukitegemea sana mshahara lazima udate
Ilimradi usiache wanafunzi kwenda kulisha kuku.Inasikitisha, inatakiwa watumishi wapambane wawe na vyanzo vingine japo vidogo vya mapato. Kile cha kuanzia majuzi na jana ni aibu sana kwetu watumishinwa umma.
Dah kaz ipo mpaka mishahara mama anatoa kwa mafungu mbon anatuchanganya sanaWengine bado hatujalipwa
😂😂😂😂😂😂Hongereni sana kwa mishahara yenu kulipwa.
Hujui usemalo watu vyanzo wanavyo Na mshahara upo Na vyote vina matumizi yakeInasikitisha, inatakiwa watumishi wapambane wawe na vyanzo vingine japo vidogo vya mapato. Kile cha kuanzia majuzi na jana ni aibu sana kwetu watumishinwa umma.
Nchi imewagawa watumishi sijui kwa kigezo gani.mishahara inaanza kwa jw,polisi,tamisemi then akina kajamba nani.Mtumishi kuishi akichungulia ATM tangu tarehe 21 hadi usiku tarehe 24 ni laana.
Ikifika tarehe 22/23 ya Kila mwezi apewe chake.
JW wao tar 20 ya kila mwezi chao Kiko mfukoni.
Yani watu wanna ujinga sana, eti kisa kuona watumishi wanadai mshahara basi anadhani hawana another source of income. Kudai haki yako iliyocheleweshwa hakukuondolei haki yako. Vyanzo tunavyo na mshahara tunadaiHujui usemalo watu vyanzo wanavyo Na mshahara upo Na vyote vina matumizi yake
OfcourseYani watu wanna ujinga sana, eti kisa kuona watumishi wanadai mshahara basi anadhani hawana another source of income. Kudai haki yako iliyocheleweshwa hakukuondolei haki yako. Vyanzo tunavyo na mshahara tunadai
Utaanzaje hivyo vyanzo vingine wakati mshahara ukiingia leo kesho umeisha...Inasikitisha, inatakiwa watumishi wapambane wawe na vyanzo vingine japo vidogo vya mapato. Kile cha kuanzia majuzi na jana ni aibu sana kwetu watumishinwa umma.
Ni jambo zuri sister. Kuwa na asubuhi njema.Hujui usemalo watu vyanzo wanavyo Na mshahara upo Na vyote vina matumizi yake
Wajinga nchi hii hawataisha madamu wajinga wanaendelea kuwepo ndivyo na ccm itaendelea kuwepo.Yani watu wanna ujinga sana, eti kisa kuona watumishi wanadai mshahara basi anadhani hawana another source of income. Kudai haki yako iliyocheleweshwa hakukuondolei haki yako. Vyanzo tunavyo na mshahara tunadai
Na huu ndiyo ukweli wenyewe. Kuna kundi kubwa tu la watumishi wa serikali bado hawajaingiziwa mshahara.Dah kaz ipo mpaka mishahara mama anatoa kwa mafungu mbon anatuchanganya sana