Asante JamiiForums: Hatimae watumishi wa Umma wamelipwa Mishahara yao, kelele zimefika kwa mamlaka

Asante JamiiForums: Hatimae watumishi wa Umma wamelipwa Mishahara yao, kelele zimefika kwa mamlaka

ni neema iliyoje kwa kweli

nipende kuipongeza serikali kwa ujumla
 
Wajinga nchi hii hawataisha madamu wajinga wanaendelea kuwepo ndivyo na ccm itaendelea kuwepo.
Ingekuwa yeye mtu akamkopa na akashindwa kumlipa kwa wakati angekaa kimya
Wapuuzi tu hawa wengine tumeajiri ndugu zao huku wanakatia majani ya ng'ombe, ili kijana mambo yake yaende lazima mambo yangu yaende pia wanatuona watumishi tuna njaa sana kisa kudai monthly salary.
 
Yani watu wanna ujinga sana, eti kisa kuona watumishi wanadai mshahara basi anadhani hawana another source of income. Kudai haki yako iliyocheleweshwa hakukuondolei haki yako. Vyanzo tunavyo na mshahara tunadai
Kweli mkuu,, mtu ambaye ameenda mahakamani kufungua kesi baada ya mtoto wake kuuawa Haina maana kwamba Hana watoto wengine... Huwezi ukaacha mtoto wako ameuawa eti kisa una watoto wengine...
 
Kweli mkuu,, mtu ambaye ameenda mahakamani kufungua kesi baada ya mtoto wake kuuawa Haina maana kwamba Hana watoto wengine... Huwezi ukaacha mtoto wako ameuawa eti kisa una watoto wengine...
Umeiweka kitaalamu sana mkuu. Kama hajaelewa basi ana matatizo ya afya ya akili.
 
Rasmi nauaga umma huu wa Jamiiforums kuwa nitarudi hapa walau tarehe 30 au tarehe moja mwezi wa Saba ,kwa kipindi Cha siku hizi za katikakati nitakuwa bize kutumia jasho langu nililolitafuta kwa siku hizi 30 ,hivyo dada yangu ,mdogo wangu wa kike au mwanamke yeyote uliye single na siku tajwa hapo juu unahisi utakuwa uko free tafadhali jumuika pamoja na Mimi tuturahie maisha .

Nitakuwepo Mbeya mjini kuanzia tarehe ya leo mpaka tarehe tajwa hapo juu maana kufika hizo siku bajeti ya mshahara wangu itakuwa imekwisha .

Ahsante sana ,nawapenda sana na Mungu awabariki na kuwatabaruku kwa kidogo mkipatacho basi mkafurahie maisha .

Kwaheri rafiki zangu najiweka karantini ili nione umuhimu wa jasho langu .

Thanks a lot niggas
😂
 
Wapuuzi tu hawa wengine tumeajiri ndugu zao huku wanakatia majani ya ng'ombe, ili kijana mambo yake yaende lazima mambo yangu yaende pia wanatuona watumishi tuna njaa sana kisa kudai monthly salary.
Ng'ombe unayemfuga ndio huyo unayempigia gitaa kwenye Profile Picture yako?😀😃😄😁
 
Nchi imewagawa watumishi sijui kwa kigezo gani.mishahara inaanza kwa jw,polisi,tamisemi then akina kajamba nani.
Sasa kwa taarifa tu.. hao uliowataja ndio Kajamba nani ORIGINAL.
 
Back
Top Bottom