Soul21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 210
- 351
Mimi ni kijana amabye duka langu la simu mwaka jana lilivunjwa na kuibiwa na hata kupata hasara ya milion hamsini.
Kelele za siasa zimeendelea kufanya hata sisi wafanya biashara kutokuweza kutulia na kuwa na amani kwa sababu ya harakati za kisiasa ambazo haziishi na kuturuhusu kufanya kazi na kujenga nchi yetu
Naomba ikiwezekana iwe mpaka mwaka 2030 ili sisi vijana wachapakazi tujenge nchi kwani wanaoleta vurugu ni wahuni wa mtaani ambao siku nzima wanakesha mtaani kucheza bao na pooltable na mwisho hawana cha kupoteza.
Mwisho, Naomba mfuatilie haki kwa watu wote wanaostahili hasa waliopotea akiwemo Mdude, Polepole na hata kwenye haki ngazi ya Mahakama.
Asante