moderators wa JamiiForums na Mmiliki wake wamekutuma uwajibie kuhusu malalamiko ya huyo genta?
watu wote hapa ni mashahidi na huwa tunaona jinsi genta anavyochokozwa kisha yeye kuwajibu hivyo tunakushangaa unavyosema yeye ndiyo huwaanza. kifupi umejibu kipuuzi mno.
mbona nawe katika haya maelezo yako hatujaona mahala popote pale ukiwataka hao wanaochokoza na kumtukana genta kutwa hapa ukiwataka ama waachane nae au nao waanzishe forums zao?
na kinachonishangaza zaidi hapa umeonyesha true color yako kuwa nawe ni miongoni mwa wapuuzi wale wale mnaomchukia genta bila sababu za msingi ila huwa nakuona kila siku ama uki like threads au posts zake hapa. je, tukueleweje nawe?
kinachowateseni hadi mnamchukia genta na kuwa na wivu nae ni umaarufu wake na uwezo wake tu wa kipekee wa Uwasilishaji wake wa masuala, uwerevu wake na maarifa yake mengi huku mkibakia na umasikini wenu mkubwa wa kipato na akili
naona umetafuta namna ya kuipromoti id yako ya akiba ya
Rutashubanyuma na ukaona mahala pekee ni katika huu uzi wa genta
na wenye akili tunajua kuwa mnamchokoza makusudi genta ili apigwe ban mfurahi ila shukran kwa watoa ban kwa kuwapuuzeni na wanamwacha kwani wameshajua kuwa hana kosa wala tatizo ila ni matatizo yenu tu ya upumbavu na uswahili yanayowakabili
mnavyomchukia ndiyo anapendwa mno
Cc:
Plan Master