Asante Kipa wa Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya 'Kujivunja' ili usicheze Mechi ya leo dhidi ya Yanga SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia.

Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda vyema. Kipaumbele pia ni Magoli kuwa mengi kumzidi mwenye Kiporo.
 
Azam amemfunga Singida
Simba pia amemfunga Singida japo kwa magumashi
ajabu gani Yanga kumfunga Singida tena kwenye pichi ya Mkapa?
Hizi hesabu zenu watu wa utopolo huwa hazipo kisoka kabisa.Kwa hiyo yanga kufungwa na Ihefu ndio standard ya Ihefu ama ndio uwezo wa utopolo?

Soka haliendi kama hesabu za aljebra.
Tunachojua tu ni kwamba,Singida kwa uto ni kama kisichana cha kazi kinachomkatia mauno mkata nyasi za kulisha mifugo huku kikiwa hakina chupi.Kifuatacho kinajulikana tu.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
We ni mpumbavu Sana..... Sasa Kama unajua mpira sio sawa na Aljebra, wewe unakuwa na uhakika upi juu ya matokeo!. Punguza ujinga kolokwinyo we.
 
Ww nilishakwambiaga mechi zote zilizobaki baada ya yanga kufungwa na Ihefu atachukua points 3 bila ya papatu papatu uwanjani.
 
nimeamini kweli kila mtu nchi hii ni yanga...bado ujitambulishe na wewe mwenyewe tu
 
Kuna ka pikipiki flani hivi kanaitwa kwa jina la bata vuzi..
 
We ungeweza kudaka ule muwa wa Nzengeli?
 
Action is equal to reaction


Wanavyokujibu ndivyo unavyowajibu wengine


Ulivyo ndivyo walivyo

Wewe ni kioo chao,taswira unayoiona kwao ndivyo ulivyo wewe


UKijua sijui hunipendi sijui ukijua nini

Huo ni umama

Mtoto wa kiume unaliliaje kupendwa?

Hii ni public domain,ukitaka upendwe na watu bila kupingwa fungua forum yako halafu jipostie,ujilaikie na ujipongeze mwenyewe kama Rutashubanyuma

Ushamuona Rutashubanyuma anagombana na mtu humu no!

Why?

Anajipostia,anajiuliza na kujijibu mwenyewe

Na nyuzi zake zinasonga vizuri,bila ya ban wala reports kwa ma moderetors

Usijipe umuhimu ambao huna

Matusi utukane wewe halafu watu wakiretaliate uanze kujifanya victim

Anzisha forum yako
 
moderators wa JamiiForums na Mmiliki wake wamekutuma uwajibie kuhusu malalamiko ya huyo genta?

watu wote hapa ni mashahidi na huwa tunaona jinsi genta anavyochokozwa kisha yeye kuwajibu hivyo tunakushangaa unavyosema yeye ndiyo huwaanza. kifupi umejibu kipuuzi mno.

mbona nawe katika haya maelezo yako hatujaona mahala popote pale ukiwataka hao wanaochokoza na kumtukana genta kutwa hapa ukiwataka ama waachane nae au nao waanzishe forums zao?

na kinachonishangaza zaidi hapa umeonyesha true color yako kuwa nawe ni miongoni mwa wapuuzi wale wale mnaomchukia genta bila sababu za msingi ila huwa nakuona kila siku ama uki like threads au posts zake hapa. je, tukueleweje nawe?

kinachowateseni hadi mnamchukia genta na kuwa na wivu nae ni umaarufu wake na uwezo wake tu wa kipekee wa Uwasilishaji wake wa masuala, uwerevu wake na maarifa yake mengi huku mkibakia na umasikini wenu mkubwa wa kipato na akili

naona umetafuta namna ya kuipromoti id yako ya akiba ya Rutashubanyuma na ukaona mahala pekee ni katika huu uzi wa genta

na wenye akili tunajua kuwa mnamchokoza makusudi genta ili apigwe ban mfurahi ila shukran kwa watoa ban kwa kuwapuuzeni na wanamwacha kwani wameshajua kuwa hana kosa wala tatizo ila ni matatizo yenu tu ya upumbavu na uswahili yanayowakabili

mnavyomchukia ndiyo anapendwa mno

Cc: Plan Master
 
Na wewe umetumwa uje umjibie GENTAMYCINE ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…