Kimya anye kuku akinya bata kelele.Azam amejipigia,Dunduka amejipigia kwa usaidizi mwingi wa waamuzi ,Dar Young African katika ubora wake akiifunga Singida big stars bila usaidizi wa TFF Kama makolo lalamiko.Makolo ambazo msimu huu ajashinda mechi yoyote ya kimataifa to date waamuzi wa kigeni wamewakomalia