GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nimewaambia Wachezaji wangu kuwa Mechi hii ya leo ni ngumu Kwetu kwakuwa tunacheza na Timu ngumu na yenye Wachezaji mahiri hivyo tuache kufanya Makosa yasiyo ya lazima na tutumie nafasi zetu mapema kabla hawajatuadhibu" Kocha Mkuu wa Yanga SC Nabi.
Na GENTAMYCINE sijawahi kuona Kocha Nabi akiwa Mpole katika Press Conference kama alivyokuwa Jana.
Kudadadeki.....
Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums tafadhali TUSICHOSHANE na acha kabisa Kusoma na hata Kuchangia bali Watafute Members wengine unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali kuliko Mimi.
Nimemaliza.