Asante kwa kuwaleta WASUDANI. Changanya Mbegu ni jambo jema sana

Nchi ikiwa na mchanganyiko hupendeza sana, ndio maana ukifika Marekani unakutana na kila MMEA WA BINADAMU, yaani unakutana na mtu anatisha balaa, mwingine wa kawaida, mwingine mzuri balaa, halafa anakuja tena mzuriii, ukisema umemaliza unashangaa unakutana na kitu hadi unajiuliza ni cha hapahapa au kimushuka tu. Yote hii ni kwasababu ya michanganyiko ya wa latino, ulaya,Asia, Arabs, Africa na hata wandengereko.

Kwa hiyo tunaishukuru serikali hii ya Mama yetu kwa kuanza na hawa wa Sudan, japo tumechelewa sana. Niombe tu mawasiliano yafanyike pia sehemu zingine kama Ethiopia, Eritrea, Brazil. Pia tuangalie uwezekano wa kutoa scholarship kwa Rwanda .

Kama Nyerere alivyofanikiwa kuchanganya makabila yetu tukazaana vinginevyo ungekuta leo kuna jamii wote ni weusi tiiii, au jamii fulani wote ni wabishi tu
Mkuu kapicha ka kunogesha thread 😊😊😊
 
Kuna damu sio za kuchanganya waoane wenyewe

Hivi mfano mtanzania unazaa na Msomali unatarajia nini? Utaishia kuzalisha kizazi cha ajabu sana

Au unao na kuolewa na mtu wa Sumbawanga unatarajia nini? Ukilogwa mfano unashangaa nini?

Kuna watu duniani wanatakiwa waoane wao kwa wao wakae mbali na makabila mengine

Ukabila ruksa

Kuna makabila hata Tanzania yako mengine waoaji au waolewaji hawawataki kabisa akioa au kuolewa nje ni wachache mno sababu ya sifa mbaya ya kabila

Swali wewe kwa yeyote humu Jamii Forums watu wa kabila lako ni wangapi wameoa au kuolewa na makabila mengine eneo hapo ulipo iwe mtaani kijijini,mjini,kanisani au msikitini unakosali au kazini,au kwenye biashara au kwenye marafiki zako nk jipime mwenyewe ukiwaona kiduchu jua kabila lako lina shida oaneni wenyewe na shida zenu hamfai mko hovyo

Napiga Saluti kwa wachaga wanaongoza Tanzania kwa kuoa na kuolewa na kila kabila Tanzania

Wanapendeka hasa na makabila mengine awe mwanaume wa kichaga au mwanamke wa kichaga

Kwa Tanzania ndio wanashika nafasi ya kwanza kupendeka kuoa au kuolewa
Unajichanganya na kauli zako. Hivi unajua hao wachaga unaowasifia wamepunguza WIZI baada ya kuchanganya damu za makabila mengine. Vinginevyo hii nchi isingengekalika.
Unakumbuka miaka ya 1990 kurudi nyuma jinsi nyumba za watu zilivyovunjwa , unakumbuka magari yalivyoibiwa yaani ukipaki tu dakika 5 wamechukuwa au unaamka asubuhi unakuta gari halipo. Unafikiri ni kina nani kama sio kina MEKU
 
Wachaga wako vizuri kimaendeleo na kutafuta pesa kwao hakuna nyumba ya tembe wala udongo mtu akiolewa na kijana wa kiume wa kichaga ana uhakika wa kutoka kimaisha hata kama huyo kijana ni msukuma mkokoteni na mtu kabila ingine akifanikiwa kutomgoza msichana wa kichaga hata kama hana kipato sababu maisha yamempiga cha msingi amsikilize tu akisema naomba elfu 10 nifanye biashara asimhoji ipi amwamini kuwa akimpa watatajirika tu

Ukitaka utajiri mkubwa olewa na mchaga au oa mchaga ila ukioa uwe mkimya usihoji sana akisema niitafutie milioni popote nifanye biashara mpe usihangaike kuhoji
Hawana tabia ya kutapeli wanaume wao waliowaoa kwa ndoa

Hakikisha ukimpata funga naye ndoa ku enjoy wengi sio malaya na huchukulia ndoa kama kitu.kizito sana na kuwa mwanaume na nduguze wamemheshimu mno.Mwanamke wa kichaga akiolewa kwa ndoa sio rahisi kuachika ni chuma cha pua kwenye ndoa wana shukrani kuliko kabil6yeyote hukumbuka ulikomtoa kumwingiza kwenye ndoa kanisani hawasahau wema.Ndio maana sio Rahisi mwanamke wa kichaga kukuta katelelekeza mume.Akitelekeza ujue huyo mwanaume kashindikana na hakuna Mwanamke aweza ishi naye hata aoe mara mia
 
[emoji817]
 
Back
Top Bottom